Hapa kazi tu: Fastjet yahofia hisa zake kushuka kufuatia katazo la safari

Quarterpin

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,253
1,083
Kwa mujibu wa taarifa kutoka the telegraph ya uingereza, na Soko la hisa la London, hisa za shirika la ndege la fastjet huko kwenye soko la hisa la uingereza (Sijui ni kwa nin haliko listed hapa kwetu) zimeshuka kutokana na kushuka kwa mahitaji ya safari za ndege hasa kwa watu wa serikalini ambao ndio walikuwa wadau wakubwa. habari yenyewe hii hapa

Fastjet shares lost altitude after the airline that aspires to be the first low-cost pan-African carrier warned it was being shaken by continuing turbulence in Tanzania. The Aim-listed, Tanzania-based airline has been rocked by the fall-out from October's presidential election in the east African country and cautioned that revenues in both 2015 and 2016 will now be lower than expected.

The warning sent shares in Fastjet, which has also been hurt by a drop in the Tanzania shilling against the dollar earlier this year, plunging 7.2pc to a record low of 43?p.

?The process of forming a new functioning government has been protracted,? said Gerald Khoo, analyst at LIberum. ?Concerns about the outlook for government spending have also weighed on consumer sentiment, given that a large proportion of the population work for the government.?
Fastjet, which was co-founded by easyJet entrepreneur Sir Stelios Haji-Ioannou, who remains a major shareholder, has lofty ambitions to expand across Africa, but is currently focused on Tanzania.
Although the airline launched its Zimbabwe subsidiary in October, the carrier?s plans to open a base in Zambia have been delayed. FastJet said today that it did not expect to receive its air operator's certificate in Zambia until early next year.
 
Watuachie na " Austerity Measures " ya kwetu kiongozi anaishi salasala derva anaishi maji matitu kila siku linawashwa Toyota VX V8 Petrol engine kumfuata na kumrudisha labda anafanyakazi TCAA kule gongo la mboto. Piga hesabu ni gharama kiasi gani anameza kwa mwaka huyo juu ya usafiri tuu huo wa gari. Bado semina za kuapanda ndege. Kuna kibopa mmoja wa NHC yeye anapewa magari 3, la kwake, mkewe ambaye ni mama wa nyumbani na la mtoto kumfuata shule masaki. Hii ni dhuluma kwa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom