Hapa kazi tu bila kuwa na maslahi bora kwa wafanyakazi?

Masanyiwa Mabula

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
958
1,000
Hapa kazi tu imeishia wapi? Na ile issue ya bashite madawa naona kimya. Sioni tena wahusika wakitajwa kwenye media kwenda kutuoni
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
5,644
2,000
Huyu ni upinzani, ccm hawana akili hiyo. Yanasubiri JPM aibuke na single nyingine yaibebe yaishangilie. Île ya madawa ya kulevya kimyaaa !!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom