HAPA KASI TU!

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Wadau Mimi nimekuwa nikifuatilia
Matangazo ya Biashara
Kati ya matangazo yaliyonikosha moyo wangu
Ni haya HAPA....,


Tangazo la nyati
Umeweka nini humu yule mzee anajibu kwa kujiamini
Nyati'

Tangazo la tucker lager utaipata popote marafiki wako walipo'

Funga kazi ni Yule jamaa wa bukoba
Hapa KASI TU!

Nimefurahishwa na jamaa anavyotembea kwa kujiamini
Akiwa red carpet

Navutiwa sana mimi,


Hebu nawe sema ni tangazo gani hukufurahisha sana?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom