Hapa Itakuwakuwaje?... "Maamuzi ya Mgonjwa au Daktari?"

i5uebo.jpg


Picha kwa hisani ya Haki-hakingowi.blogspot.com



Hapa Kipanya kachemsha.

Huyo mgonjwa labda angeitwa UFISADI TZ na sio tu TANZANIA. Ukimkata kichwa TANZANIA haiwezi kuwa ndio tiba si atakufa?
 
Hapa Kipanya kachemsha.

Huyo mgonjwa labda angeitwa UFISADI TZ na sio tu TANZANIA. Ukimkata kichwa TANZANIA haiwezi kuwa ndio tiba si atakufa?

Sahihi, kama akikata kichwa that will mark the end of Tanzania KP inclusively!
 
Kuna taratibu za consent dadangu lakini nafeel uchungu wako,msumeno nyuma ya doctor umeuona? ha ha


Inategemea nani atakuwa wa kwanza kuufikia, ...Daktari au TZ.

KICHWA = Mkuu wa Kaya?

Huenda daktari keshaghairi tayari baada ya kutambua kwamba si damu pekee, bali kinyesi pia kitatapakaa hadi mdomoni mwake.



.
 
Daktari ameshafanya kosa!

Daktari hatakiwi kumuuliza mgonjwa ampe tiba gani.

Kilichotakiwa kwa sababu Dr. ndiye mtaalamu na mgonjwa yuko mahututi, yeye alipaswa kukata kichwa tu.

Yaani watanzania(DR) inatakiwa watoe action bila kuumuuliza mgonjwa(Mkuu wa...).
 
Hapa Kipanya kachemsha.

Huyo mgonjwa labda angeitwa UFISADI TZ na sio tu TANZANIA. Ukimkata kichwa TANZANIA haiwezi kuwa ndio tiba si atakufa?

Hapana, KP yuko sahihi, maana Tanzania tunaumwa Ufisadi! Na ugumu wa kuondoa ugonjwa huo (ufisadi) ni sawa na kuipindua/kuiua nchi! Maana imeshambulia kichwani (vigogo), tukisema tukikate (tuwashtaki), basi mwili (serikali) itakufa!
 

Hapa Kipanya kachemsha.

... Ukimkata kichwa TANZANIA haiwezi kuwa ndio tiba si atakufa?

Hajachemsha, amempa mgonjwa impossible choices kwa sababu anataka "kuwezeshwa," kabla hajatoa dawa, kama alivyosema Wildcard. Na mgonjwa amemuelewa vizuri, ndio maana kaenda chemba, na atafatwa huko huko wakamilishiane na Dr. Masau, pardon me, I mean Dr. Kipanya .
 
Hapa Kipanya kachemsha.

Huyo mgonjwa labda angeitwa UFISADI TZ na sio tu TANZANIA. Ukimkata kichwa TANZANIA haiwezi kuwa ndio tiba si atakufa?

Mkuu yaani ulitaka atoe kirahisi hivyo?

Tanzania(nchi) siyo watanzania(watu), nchi inaongozwa na kichwa(Mkuu wa kaya anayetoa directive). Sasa Dr. ni wale waamuzi na hapa wamechukuliwa kama Watanzania. Chooni hapa ni visingizio kama vile kupanda kwa gharama za vitu mbali mbali.

Kwa hiyo Dr akitaka kutoa tiba ya ugonjwa unaoikabili tanzania(ambayo iko na ugonjwa wa uongozi(kichwa)). Kichwa kinaweza kutoa sababu za matatizo yanayokabili dunia hili iwe kama visingizio vya watu kutopata siagi.
 
Kyoryere .... huyu ni mgonjwa wa taifa ... consent tumeshaitoa sisi watanzania ... hamna kwenda msalani wala nini ... just check kama msumeno umenolewa vizuri ... embu tizama vizuri .. unakata upande mmoja ama kote kote

unanikumbusha enzi zile mtoto alikua responsibility ya jamii nzima na akikosea anaadhibiwa na mkubwa yeyote aliye keribu wakati huo bila kujali ni mtoto wa nani na mzazi hana say wala kuombwa consent
 
Back
Top Bottom