Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,262
Picha kwa hisani ya Haki-hakingowi.blogspot.com
Kazi nzuri sana kutoka kwa Kipanya. Sasa maamuzi yetu kama "madaktari" ni yepi? Tung'oe kichwa haraka iwezekanavyo au tuache "cancer" isambaratike mwili mzima kwa "kuogopa kuua" au tuendelee kumpatia mgonjwa muda wa kufikiria "akiwa toilet?"
Picha kwa hisani ya Haki-hakingowi.blogspot.com
Hakuna haja ya kumuulizxa mgonjwa, ni kukata tu.
Daktari kachelewa kumpa nusu kaputi ... angejadiliana naye huku tayari anapima na nguvu ya kaputi
...tatizo kwenye 'protokali' ya taaluma hii, inabidi mgonjwa atoe kwanza consent yake, kufuatiwa na consent ya wanafamilia, mwisho ndio madaktari kutoa AMRI yao!
...afanaileki huo msumeno nyuma ya Dokta!
Daktari kachelewa kumpa nusu kaputi ... angejadiliana naye huku tayari anapima na nguvu ya kaputi
... mchongoma, tatizo huyu mgonjwa kaanza kutumia sababu ya "kwenda toilet kufikiria" zaidi ya miaka miwili sasa. kila kukitokea dharura ya kutufanya tumng'oe kichwa anakimbilia toilet... tusipoangalia hii consent ya mgonjwa itaishia kutuangamiza sote (kwa gharama na maambukizi)... mi-cancerous cells inazidi kuenea mwili wote na hata kuambukiza wanajamii. Si huwa kuna kipindi madakatari wanaruhusiwa kuzima mashine pale wanapoona mgonjwa hatibiki, au..?!
Kuna taratibu za consent dadangu lakini nafeel uchungu wako,msumeno nyuma ya doctor umeuona? ha ha
[COLOR="DarkRed[COLOR="Red"]"]...tatizo kwenye 'protokali' ya taaluma hii, inabidi mgonjwa atoe kwanza consent yake, kufuatiwa na consent ya wanafamilia, mwisho ndio madaktari kutoa AMRI yao![/COLOR]...afanaileki huo msumeno nyuma ya Dokta!
[/COLOR]
Kuna taratibu za consent dadangu lakini nafeel uchungu wako,msumeno nyuma ya doctor umeuona? ha ha