Hapa inakwaje????

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Wanajamvi kwa hili mnanishaurije,kuna girl nilikuwa nafanya naye dating,halafu kweli kama amenipenda,sasa juzi usiku nikiwa skype nilijiweka invisible,sijui alifanyaje kosa akaniadd kwenye skype chatting group,kumbe aliniadd kwenye conversation yake na mwingine bila yeye kujua,nikawa nawasikia jinsi wanavyofanya mahaba,mara wakaanza kuvua nguo na kuonyesheana maumbile kwenye video skype huku wakifanya romance,yaani wote walikuwa ktk hali ya utupu bila nguo,hawakujua kwamba mi nawaona kwenye video,wao hawakuweza kuniona coz sikuweka webcam kwenye desktop,huyo msichana bado anaendelea kuniambia ananipenda kama kawaida na wala hajastukia chochote,na mi nimeamua kumpiga chini,sasa nimwambie kosa lake au nimpuuzie tu?
 
Mkuu hakuna haja ya kumwambia. La msingi Sepa Mkuu huna demu hapo!
 
mapenzi ya siku hizi bwana ni aibu tu
kizazi cha dotcom hichi
nakushauri ujichunge nafsi yako
kaa mbali naye tu ukiweza
jichunguze hata wewe pia inawezekana mnafall under the same category
 
Mpige chini demu kicheche huyo!! Halafu mwambie kila ki2.
 
umesema umempiga kibuti sababu ni vyema ukampa kwa maana ya kumtendea ubnadamu.............................usimhukumu kimyakimya.............ajitete ikibidi halafu shoka limwangukie baada ya hapo.......................aondoke ameshibishwa na nguvu ya hoja...............mmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Wanajamvi kwa hili mnanishaurije,kuna girl nilikuwa nafanya naye dating,halafu kweli kama amenipenda,sasa juzi usiku nikiwa skype nilijiweka invisible,sijui alifanyaje kosa akaniadd kwenye skype chatting group,kumbe aliniadd kwenye conversation yake na mwingine bila yeye kujua,nikawa nawasikia jinsi wanavyofanya mahaba,mara wakaanza kuvua nguo na kuonyesheana maumbile kwenye video skype huku wakifanya romance,yaani wote walikuwa ktk hali ya utupu bila nguo,hawakujua kwamba mi nawaona kwenye video,wao hawakuweza kuniona coz sikuweka webcam kwenye desktop,huyo msichana bado anaendelea kuniambia ananipenda kama kawaida na wala hajastukia chochote,na mi nimeamua kumpiga chini,sasa nimwambie kosa lake au nimpuuzie tu?

Ni vizuri ukimwambia kosa lake, hata hivyo kama angekuwa mwaminifu asingefanya hayo mapenzi na huyo mtu thru skype angekuja kwako na kuomba "dozi kamilifu"uyo ni kicheche atakuletea magonjwa buuuure.
 
ungemuoa chapchap. kwani na ww si mmekutana huko skype/fb? mpige bao huyo anaekula kwa macho weye ule live!
 
Hakunagaaa,Kumbe hadi Skype kuna invisible nilijua hapa jamvini tu lol unauliza ffu igunga haaa? m-mwage tu huyo na mchane live jinsi alivyokuwa anafanya upupu wake kwa skype
 
Kwanza nikupe pole najua inauuuma kias flani.pili nakushauri mwambie kosa lake then mpige chini ameonyesha mapungufu mapema sana..
 
honestly! im nt sure of whr we ar going,hicho ni kimoja2 ulicho fanikiwa kuona..proba ya kuwepo mengine ni kubwa!..take action bro!bt telling her is also important!polee
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom