Elections 2010 Hapa city katikati kuna nini? Naona wachakachuaji (FFU) wanapita Ohio Str mbio!

Duh, kutangaza kwa mtutu wa bunduki! Ama kweli mamabo ya Kivuitu hayo
 
wanaelekea maeneo ya karimjee
lakini wengine sijui wanaelekea wapi maana wako speed mbaya
 
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Tupeni report labda wamekosea wakamtangaza SLAA badala ya JK, si naskia hua wanakosea hata kutangaza matokeo??
 
Hivi hamjui kuwa viongozi wote wa juu walikuwa wanajeshi?
Kikwete, makamba, kinana
 
Nishapata taarifa wanaenda kwenye fainali ya chakachua yao..... kutangaza mgombea aliyepitishwa kwa kura za Usalama wa CCM ooh Taifa..
 
...Sasa huo mkwara wa nini?? Wakitoka huko wanaenda kuokwa kwenye nyumba zao za bati...
 
Mbwembwe tu, tunajuaje Mjini kuwa kuna jeshi la usalama katika kufanikisha uchakachuzi.
 
Ndo maana niliachaga kujiunga na Jeshi unajua kutekeleza amri bila kufikiria huwa sipendi.
Bse you all look like.......................bora liende
 
kuna shughuli ya kutangaza mshindi wa urais,zoezi linaendelea hapa viwanja vya karimjee,
ila nasikitika baada ya watu kususa kupiga kura pia wamesusa kuhudhuria sherehe za kumtangaza mshindi.
Wana JF nipo hapa eneo la tukio viti ni vitupu hakuna watu wa kutosha ila mpaka sasa wagombea hawajaingia uwanjani.
nitaendelea kuwajulisha kila kitu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom