Hapa CHADEMA mmeingia kichwakichwa, hii inaitwa force king!

Wabongo bado tuna kazi ngumu saa mbele, Wewe waamini 6 anaweza kuongoza nchi hii kweli? jamani tuacheni ushabiki wa kishamba, mwaka jana nilibahatika kwenda jimboni kwa ndugu 6 ambaye amekuwa kiongozi toka mimi sijaanza dalasa la kwanza miaka kama ishirini na tano iliyopita lakini maendeleo ya Urambo ni aibu tupu, Kimsingi sisi wanyamwezi hatuwezi kuongoza labda familia zetu, mifano hai Prof Kapuya, Prof Lipumba, Eng Msekela, yule prof aliekuwa mbunge kabla ya kaboyonga,,,,,,,...............na wengine wengi, Sita siwezi kumpa kura yangu hata kama nipo usingizini

Ninakubaliana na wewe kwa 100%, viongozi wa TBR na wawakilishi wao, na hata wananchi wenyewe wamejaa maneno zaidi ya vitendo, tena usipoangalia wanawezakusema unajua tulikubaliana hili kwa kuwa "Mr Suggestion" alitumbia, ila sisi hata hatukuta/hatupendi, unajiuliza hawa jamaa si mlikaa kikao sasa mbona hawakusema hili jambo muda huo! anyway wanyamwezi ni wanafiki, they are not straight, wambeya, wachonganishi....viongozi wao hawana contribution yoyote angalia, Mfuta Kamba, Tatu ntimizi, magreth 6, Said Nkumba, Rage (ndio kabisa kawa mwakilishi wa simba), Limpumba hata nyumba yake ya village kwao hajaimaliza, Selelii alikuwa vuvuzela zaidi ya vitendo, yaani hata mhindi Rustom mambo binafsi safi ila ya jimbo yalikuwa hovyo zaidi...nimewachoka wanyamwezi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom