Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,267
- 105,437
Mitaa inabadilika, nikienda sasa nitaonekana mimi ndiye mgeni. Na hivi watu wengi wameondoka ndiyo kabisaa.Bongoyo hapo kuna mtu naona anajenga kitu kama msikiti mbele kabisa ya kiwanja!
Watajengajenga maghorofa ovyo kutakuwa kama Upanga sasa hivi.