Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

Ha

Hayo yalimkuta ndugu yangu alipokuta mlinzi aliishi vizuri lakini ilitokea zari akafanya issue Mija akapata Kama mil80 Basi alipagawa Kila demu alimtaka Yeye ,kwa Sasa hatunae Tena alukufa kwa ngoma
Wengine wana roho ndogo, wakipata pesa kidogo wanaanza kupaparika.

Kuna msela baada ya kuona kazi hakuna, akaamua kujiajiri. Akakaza moyo akaanza kukaanga keki na kuuza, akadumu katika biashara yake mtaji ukakua, akapanua eneo lake la biashara, akawa hauzi keki peke yake, akafungua mgahawa pia.

Kama ujuajvyo mademu, ukiwa huna kitu hawana habari na wewe, ukiwa na kitu wanajisogsza bila hata kuwatongoza. Jamaa baada ya kuona anafuatwa fuatwa na mademu akaona yeye ndiyo yeye. Akaanza umalaya. Amekufa na ngoma, pesa zake zimemuua.
 
Lini hyo

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Dah yani bongo kupeana ramani ya kupiga maisha huwaga ngumu sana yani 😅😅😅 mtu akikupa ishu labda ambayo ya kipuuzi ya mshahara laki na nusu! Ila kazi za kueleweka hamna mtu atakupa hints
Acha tu. Ila ni tabia ya binadamu na siyo kibongo. Ila usinywee sana. Waweza pata mchongo wa wizi kijambazi au kifisafidi ukaishia jela. Jifariji kuwa its a blessing in disguise umewekewa rostoki.
 
Back
Top Bottom