Hapa bado narudi njia panda tena kuhusu zanzibar na tz bara

harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,970
6,903
Habar za mda huu wana jf
Samahanini wadau labda mm cna nachokielewa kuhusu hili ila wapo wadau wanaoweza kuniweka sawa.kuna habar nimeiona kwenye habar za michezo kuhusu zanzibar kua mwanachama wa CAF na CAF itaitambua kama nchi,pia wameeleza kua ata ikitokea wakicheza na timu yetu ya tz ni sawa na wamecheza na kenya au uganda,swali langu ni kwamba je zanzibar bado cyo nchi huru?
 
Back
Top Bottom