Haoni choo msaada

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,929
25,138
Wakuu msaada mtu mzima anakula kama kawaida but anaweza kaa hata siku 3-4 hajaenda .Atumie Dawa gani?
 
Asanteni wakuu,ninaanza na papai kwanza halafu nitawaletea mrejesho
 
Mpe juice ya ukwaju,iwe imekolea, ambayo haijachanganywa na tunda lolote, glass mbili tu mkuu, mtaenda kuwasalimia majirani kwa lazima,, maana jamaa anaweza kubomoa choo.
 
  • Thanks
Reactions: bht
atumie matunda yenye nyuzi nyuzi kama nanasi lakini pia mapapai kwa ajili ya kulainisha choo

turejee edeni habari za kumeza sumu kutibu ugonjwa tuziache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom