Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana

Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho?

Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, watu hao wataondolewa haraka iwezekavyo ndani ya serikali, ili mheshimiwa Rais wetu na serikali yake waweze kufanya kazi ya kutuletea maendeleo sisi wananchi wao ipasavyo
 
Samia anayaogopa mapapa ya CCM na ya Serikalini ! Hilo li chama linamajitu hatari kweli kweli sehemu zote mpaka TISS ! Anayajua fika ila yanatisha. Dawa ni kuling’oa li CCM madarakani na kusuka uongozi upya ! Japo mi kazi haswa maana haya majitu yako tatari kuua yoyote anataka kutishia nafasi na wizi wao ! Angalia yalivyo mbambikia Mbowe kesi ya kishamba kabisa ili tu yamfunge maisha !
Uing'oe ccm madarakani uweke chama gani mwamba!?
 
Mama ana dola aache kulialia, atoe order tu aone kesho keko na central patakavyojaa...
Mama aache uoga avae sura ya mbuzi, kamata kamata ianze mara moja....kwa nguvu yake hiyo ni kazi ya week moja tu kuwaweka ndani mamasterminder woote...hawa vicheche vyao hawana makali watatiwa nguvuni mdogo mdogo.

Mama asifikirie sana urais na uchaguzi 2025, yeye ajitoe mhanga kwa manufaa ya watanzania wooote, historia itamkumbuka, aanse chap kukamata majizi na mapumbavu yote na kuingiza damu mpya na changa kwenye mifumo chap.... Watanzania tutamuombea na Mungu mwenyezi atamlinda....
 
Hatuna chama mbadala, CCM itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka mingi ijayo
Samia anayaogopa mapapa ya CCM na ya Serikalini ! Hilo li chama linamajitu hatari kweli kweli sehemu zote mpaka TISS ! Anayajua fika ila yanatisha. Dawa ni kuling’oa li CCM madarakani na kusuka uongozi upya ! Japo mi kazi haswa maana haya majitu yako tatari kuua yoyote anataka kutishia nafasi na wizi wao ! Angalia yalivyo mbambikia Mbowe kesi ya kishamba kabisa ili tu yamfunge maisha !
 
Anaogopa kivuli chake mwenyewe, hakuna watu wenye nguvu kumzidi!
Ndugu ukiangalia body language ya mama ana huruma sana coz anajua fika cheo ni dhama. Mifano tunayo kwa mzee baba aliepita alivyokuwa ana deal na adui zake physically. Kumbuka kauli ya proffessor Assad alivyosema "tuna strong personality ila hatuna strong institution" akatolea mfano bunge kilichomkuta wote tuliona. Mother ana maintain perfection kitu ambacho hakiwezekani Rais aliepita ndio ameacha jinamizi linaloitesa taifa letu, kaacha opportunists wakutosha ndio wengine wanapika conspiracy kumchafua bi mkubwa aonekane si lolote. Mama akae na wanazuoni na wanadiplomasia wazuri wamsaidie jinsi ya kudeal ni pressure maana anaonekana kuwa overwhelmed
 
Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana

Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho?

Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, watu hao wataondolewa haraka iwezekavyo ndani ya serikali, ili mheshimiwa Rais wetu na serikali yake waweze kufanya kazi ya kutuletea maendeleo sisi wananchi wao ipasavyo
Ni Sukuma Gang likiwahusisha kina Polepole,Askofu Gwajima,Bashiru,yule kiranja wa vilaza wa PGO kwa kuwataja wachache tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ndugu ukiangalia body language ya mama ana huruma sana coz anajua fika cheo ni dhama. Mifano tunayo kwa mzee baba aliepita alivyokuwa ana deal na adui zake physically. Kumbuka kauli ya proffessor Assad alivyosema "tuna strong personality ila hatuna strong institution" akatolea mfano bunge kilichomkuta wote tuliona. Mother ana maintain perfection kitu ambacho hakiwezekani Rais aliepita ndio ameacha jinamizi linaloitesa taifa letu, kaacha opportunists wakutosha ndio wengine wanapika conspiracy kumchafua bi mkubwa aonekane si lolote. Mama akae na wanazuoni na wanadiplomasia wazuri wamsaidie jinsi ya kudeal ni pressure maana anaonekana kuwa overwhelmed
Hatoshi kama hajui kuwa yeye ana nafasi gani,
Wananchi tunataka matokeo chanya na maisha bora sas kama tunayakosa na yeye anasema amejuja kuleta nafuu basi ataandamwa tu
Kazi ya uraisi ni masirahi ya nchi na wananchi sasa kama yeye anasikiliza kundi dogo shaul yake

Watu wengi.huku chini maisha ni magumu na hakuna hata miradi ya mtangulizi wake ikionyesha kurndelea vizuri
Bali tozo na mfumuko wa bei unazidi.

Na asitegemee hiki kilio ni cha watu wa juu bali huku chini ndo kina anzia hali ni ngumu zaidi,
 
Mama ana dola aache kulialia, atoe order tu aone kesho keko na central patakavyojaa...
Mama aache uoga avae sura ya mbuzi, kamata kamata ianze mara moja....kwa nguvu yake hiyo ni kazi ya week moja tu kuwaweka ndani mamasterminder woote...hawa vicheche vyao hawana makali watatiwa nguvuni mdogo mdogo.

Mama asifikirie sana urais na uchaguzi 2025, yeye ajitoe mhanga kwa manufaa ya watanzania wooote, historia itamkumbuka, aanse chap kukamata majizi na mapumbavu yote na kuingiza damu mpya na changa kwenye mifumo chap.... Watanzania tutamuombea na Mungu mwenyezi atamlinda....
Hiyo ni hatar zaidi kwake.
ukitaka kujua uwezo wa paka "mpige ukiwa umemfungia ndani ya chumba".
 
Back
Top Bottom