Hao ndiyo Wakenya katika zama hizi,

out of Topic: kuna app inayomatch picha kuleta results mtandaoni?.. au umegoogle vipi mkuu!?.
Picha zipo nyingi wakiwa wamebebwa walipowasili kwenye kisiwa hicho September na walipokuwa wanaondoka
20181012_001716.jpeg
 
Sasa kinachowashangaza ni nini?.mbona mpk Leo watalii wanaotembelea mlima Kilimanjaro huwa wanabebewa Mizigo yao na wakati mwingine huwa wanabebwa mgongoni kutokana na mazingira kuwa magumu. mmesahau mpk Leo hapa kwetu hawa wazungu mpk sasa bado wanatutawala na mbaya zaidi Kwa sasa tuna mtawala mwingine anaitwa mchina. waacheni watu wafanye kazi huo ni ubunifu wakujiingizia kipato na sio utumwa kama mnavyofikiri.basi waosha magari nao tuwaite watumwa.
 
Aibu, hii ni zaidi ya uchawi. Chuki na wivu tu ndio zimetamalaki kwenye mioyo yenu. Ila msichojua ni kwamba kila mnapozidisha chuki, naye Maulana anazidi kulishushia taifa letu tukufu la Kenya baraka zake. Roho zenu nyeusi hazitajua amani hadi siku ya kiyama, kisa Kenya. Proudly Kenyan! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
 
Back
Top Bottom