Hao ndiyo Wakenya katika zama hizi,

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
.... Jamaa bado wako utumwani
 
Attachments

  • IMG-20181011-WA0044.jpg
    IMG-20181011-WA0044.jpg
    48.1 KB · Views: 59
  • IMG-20181011-WA0045.jpg
    IMG-20181011-WA0045.jpg
    60.5 KB · Views: 59
Hahahahha....hakuna mimtu minafiki kama mikenya ndo maana tunayaita manyang'au. Huu ni utumwa wa kifikra uliopitiliza kwa kisingizio cha kupalilia misaada. Ninachojivunia watanzania pamoja na changamoto lukuki tulizo nazo ni watu tunaojitambua sana
 
Acheni kupotoshwa jamani
Yaani imenichukua seconds tu ku google na kuona hapo sio Kenya bali ni Tuvalu duu hata kama ni utani huu umezidi sasa.
 
Ni Tuvalu walipokwenda sio Kenya
Yaa hata kwa jinsi wanavyoonekana haiwezekani wakawa wakenya, ila wakenya wanatakiwa wabadilike unafiki wao wa kujipendekeza kwa wazungu. Nasikia kipindi hicho wakiunga mkono serikali ya kibaguzi ya makaburu kule afrika kusini
 
Hawa nyang'au dawa yao iko jikoni inatokota. Wanavyojiona wazungu sasa. Yaani wako tayari kuwaalika waingereza wawatawale tena ingawa babu zao walipigania mzungu aende ulaya mwafrika apate uhuru (mau mau). Hawajielewi.
 
Acheni kupotoshwa jamani
Yaani imenichukua seconds tu ku google na kuona hapo sio Kenya bali ni Tuvalu duu hata kama ni utani huu umezidi sasa.
out of Topic: kuna app inayomatch picha kuleta results mtandaoni?.. au umegoogle vipi mkuu!?.
 
Yaa hata kwa jinsi wanavyoonekana haiwezekani wakawa wakenya, ila wakenya wanatakiwa wabadilike unafiki wao wa kujipendekeza kwa wazungu. Nasikia kipindi hicho wakiunga mkono serikali ya kibaguzi ya makaburu kule afrika kusini
Hawana maana hao na njaa yao kali

Ila hapo nimeona walibebwa na wa Tuvalu mpaka airport
 
Back
Top Bottom