Hanspope atua katika ‘Mikono salama’; Mahakama ya Kisutu yamwachia kwa dhamana...

Daaah huyo kweli tomaso "... sina jina lingine la kumpachika zaidi ya hili " Yaani kajipeleka kwenye mdomo wa Mamba ...
 
Nyie mnaona jambo la kawaida hili. Mie Napata mashaka kidogo kuwa usije kuwa mwanzo wa jambo linguine tusilotarajia. Kumbukeni yeye alikuwa nani hapo awali! na kuna usemi wa Kikwere unasema hivi Once a soldier always a soldier nimemkumbuka sana Jerry Rawlings alicheza game mara mbili.
Tukumbuke kuwa huwa wapo watu kazi yao kusubiri wa kulianzisha tuu, kasha wanalicheza!
Nimetamani utumie code simple kueleweka!
 
Back
Top Bottom