Hansard za bunge nazo siri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hansard za bunge nazo siri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Aug 10, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Baada ya kwenda nchi zaidi ya 10 kufanya "fact finding" za kutazama wenzetu wanavyofanya na kula per diem za mamilioni wamegoma kuanzisha Bunge TV ambayo ingeonyesha shughuli mbali mbali za bunge including kamati mbali mbali kwa sababu wako bize kutoa statements za kukanusha mambo ya ufisadi

  Mwanza idea ilikuwa ni kuanzisha something similiar to hii Parliament TV ya UK kama mnavyoona hapa chini:


  http://news.bbc.co.uk/1/hi/programmes/bbc_parliament/default.stm


  hii ni ajabu sana tena kutokea chini ya the mst flamboyant speaker tuliewahi kuwa naye...lakini la ajabu zaidi ni kuwa kupata hansards za bunge letu tukufu ni sawa na kutafuta jasho la mbu

  tazameni wenzetu walivyo waz na wananchi waliowachagua


  http://www.publications.parliament.uk/pa/cm/cmhansrd.htm


  http://www.parliament.uk/

  sasa bwana Saidi Yakubu kama upo hebu njoo hapa utuweke sawa kuhusus haya mambo matatu

  1) Bunge Tv iliko ishia

  2) Website ya bunge mbona imekuwa ngumu ku navigate

  3) Mbona Hansards za bunge mnaficha? surely nilisikia mnafanya mambo ya data migration lakini hii mbona inachukua muda mrefu sana?  Lakini hii nalo linaleta hoja nyingine kuhusus wanafunzi wa Universities zetu ambao nimejaribu kufuatilia vyo vikuu vitatu..UD,ZNZ na UDOM wamesema hawana access to resources za Bunge

  Haya tena Yakubu ingia kazini


  nawasilisha
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bunge wanashindwa ku maintain site, ki site kinachukua saa mbili ku load, halafu info hamna, wewe unasema Hansard?

  This is beyond pathetic.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Utasikia hakuna pesa!
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Yakubu ni member na atakuja kutufahamisha zaidi

  maana ndio damu mpya huko bungeni
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unajua mi nilidhani ni matatizo ya kompyuta yangu tu inanizingua maana imekuwa vigumu sana kupata mambo kwenye web site ya bunge siku hizi
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tanzania kila kitu ni siri. Inaboa kweli...Ndo maana ufisadi unaweza kutawala namna hii. Yani kutokuwa na uwazi = perfect environment ya Ufisadi kuchanua. Ni kama giza na viroboto, au wet and damp condition na mould.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  siri ya niiiiiiiiiiiiiiiiiiniiii wakati wana jf WANAJUAAAAAAAAA
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani JF ndo nchi? Mlishaambiwa, andikeni kwenye magazeti, hata kwenye tv. % ya watu walionavyo haiwezi kubadilisha matokeo. Sasa ndo useme internet? Kwanza wengi hapa wako nje ya nchi. Na ninavyojua mimi tz haina mfumo wa kupiga kura nje ya nchi. So it doesnt matter what JF knows...wat matters is the people.
   
Loading...