Hanitaki kisa siamini sina hofu ya Mungu

Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
694
729
Wanajamii, husika na kichwa hapo juu,

Kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo.

Tumekuja kutofautiana kitu kimoja yeye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly sina dini.

Kutokua na dini hakujawahi nifanya niache kua mtu mwema ni mtu mwema ambaye matendo yangu yanapendwa karibu na kila mtu.

Tatizo ndo hilo tu siamini Mungu ametishia kuachana na mimi kama nikiendelea na msimamo wangu na hapa nipo njia panda sijui nifanyeje niweze kuamini kua huyo Mungu yupo ili niweze kumuoa huyu binti.

Nisaidieni kimawazo wakuu
 
Wanajamii husika na kichwa hapo juu kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo lakini tumekuja kutofautiana kitu kimoja ye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly sina dini lakini kutokua na dini hakujawah nifanya niache kua mtu mwema ni mtu mwema ambaye matendo yangu yanapendwa karibu na kila mtu lakini tatizo ndo hilo tu siamini Mungu ametishia kuachana na mimi kama nikiendelea na msimamo wangu na hapa nipo njia panda cjuh nifanyeje niweze kuamini kua huyo Mungu yupo ili niweze kumuoa huyu binti............ Nisaidien kimawazo wakuu
Sasa wewe usiye amini ata Mungu akupeleke wapi ata yeye huwezi mwamini.
 
Wanajamii husika na kichwa hapo juu kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo lakini tumekuja kutofautiana kitu kimoja ye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly sina dini lakini kutokua na dini hakujawah nifanya niache kua mtu mwema ni mtu mwema ambaye matendo yangu yanapendwa karibu na kila mtu lakini tatizo ndo hilo tu siamini Mungu ametishia kuachana na mimi kama nikiendelea na msimamo wangu na hapa nipo njia panda cjuh nifanyeje niweze kuamini kua huyo Mungu yupo ili niweze kumuoa huyu binti............ Nisaidien kimawazo wakuu
Tafuta mnayeendana kiimani.

Usitake kubadilikakufuata kitu usichoamini kwa sababu ya mwanamke,siku mkikosana 9kwa tofauti hii ya msingi kukosana ni rahisi) utamchukia sanana kumsimanga kwamba umebadilisha imani kwa sababu yake lakini mmeishia kukosana.
 
Huyo ana haki ya kukukataa coz hujaenda kwake kuhubiri dini.

Unatakiwa ufate ulichokitaka, mambo ya dini yatakaaa sawa tuu huko mbeleni.
 
Yupo wapi? Alitoka wapi?
Hivi vielimu vya kuunga na solotepu vinatuwasha sana

Hata kabla ya huyo mzungu na mwarabu kuleta dini zao bado mabibi na mababu walijua mungu yupo labda milimani,miti mikubwa au penginepo ndio maana walikua wanaabudu kupitia hivyo

Sasa wewe ni nani na vimisimamo vya kipuuzi hujui hata umeanzia wapi
 
Kwa hiyo wewe kwa mtazamo wako hujui kam Mungu yupo.!! Nikushauri kwamba ni bora kuamini Mungu yupo kuliko kutoamini.!! Je, utakaporudi mavumbini na kukuta Mungu yupo utafanyaje.!! Kwani kuamini utalipa gharama gani wakati umejipambambanua mwenyewe ni mtenda mema.!!
 
Hivi vielimu vya kuunga na solotepu vinatuwasha sana

Hata kabla ya huyo mzungu na mwarabu kuleta dini zao bado mabibi na mababu walijua mungu yupo labda milimani,miti mikubwa au penginepo ndio maana walikua wanaabudu kupitia hivyo

Sasa wewe ni nani na vimisimamo vya kipuuzi hujui hata umeanzia wapi
Upuuzi ni kuamini usivyovijua kisa tu wengine wanaamini.
 
Wanajamii husika na kichwa hapo juu kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo lakini tumekuja kutofautiana kitu kimoja ye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly sina dini lakini kutokua na dini hakujawah nifanya niache kua mtu mwema ni mtu mwema ambaye matendo yangu yanapendwa karibu na kila mtu lakini tatizo ndo hilo tu siamini Mungu ametishia kuachana na mimi kama nikiendelea na msimamo wangu na hapa nipo njia panda cjuh nifanyeje niweze kuamini kua huyo Mungu yupo ili niweze kumuoa huyu binti............ Nisaidien kimawazo wakuu
mungu yupo amini hivyo
 
Kwanza dini tafauti alafu unataka kumuoa kwa njia ipi sasa?.Je wazazi wako wanajua kuwa huna dini? au ni njia moja wapo ya " usomi-ujuaji ".
Hakuna njia ya kumsaidia mtu kama wewe.
Rudi nyumbani funguka mbele ya wazazi wako kwamba wewe pamoja na kukuzwa katika mazingira ya kikristo umeshajua njia sahihi ya kukulea kifikra na maisha kwa ujumla.
Ukifanikiwa hilo nitafute tuzungumze juu ya ulimwengu wa kuishi bila dini.
 
Mmmh hata mie ningekuacha. Stress za imani hapana. Mana bora ungekubali uwepo wa Mungu ukatae uislam na ukristo ila huamini hata Mungu yupo yani hata kupoteza muda kuku date nisingefanya. Doh!
 
Back
Top Bottom