Asclepius
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 694
- 729
Wanajamii, husika na kichwa hapo juu,
Kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo.
Tumekuja kutofautiana kitu kimoja yeye ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu na mimi ni mkristo lakini nisieamini uwepo wa Mungu shortly sina dini.
Kutokua na dini hakujawahi nifanya niache kua mtu mwema ni mtu mwema ambaye matendo yangu yanapendwa karibu na kila mtu.
Tatizo ndo hilo tu siamini Mungu ametishia kuachana na mimi kama nikiendelea na msimamo wangu na hapa nipo njia panda sijui nifanyeje niweze kuamini kua huyo Mungu yupo ili niweze kumuoa huyu binti.
Nisaidieni kimawazo wakuu