Hanitaki kisa nipo masomoni

Octaman

Senior Member
Aug 10, 2016
153
111
Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?
 
Maliza masomo yako.. Ukimpa mimba miaka 30 inakuhusu si unajua sheria hairuhusu kugegeda na kugegedwa na wanafunzi
 
Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?

Kwani huko masomoni wewe huoni wengine? Uongeze Kijana, mwenzio keshapata mkubwa mwenzie
 
Maliza kusoma mwayaa atakupenda ukishamaliza shule mtoto mzuri, Sawaa
 
Ni msichana ninayempenda sana. Mwaka mmoja umepita amekua akinikataa nisiwe naye katika mahusiano kwa sababu nipo masomi nayeye pia anajua elimu ilivyo amesoma nayeye amemaliza na anafanya kazi. Je, nikate tamaa juu yake?
Soma kwanza, wanawake wapo tu,Lakini ukweli ni kwamba mapenzi hayachagui mwanafunzi au mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom