Hanitafuti, simtafuti lakini huduma zote ananipatia

Yaan unapata kila kitu na bado hujiamin.hahhaha.(sis wanaume sjui tunataka nn)

Ila nkwambie kitu...madem wa hvyo weng wanakuaga kwenye dozi..yaan yeye ameshajitoaga muhanga kwa lolote kwa chochote
 
Huyu keshakuua. Kama unabisha nendeni mkapime. Yaani unajisifu kwa kulishwa dozi ya wadudu?

Poleee
 
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea, nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi, nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yoyote yale huwa hana kizuizi chochote kile. Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.

Ndivyo mbuzi uchinjwa
 
Najielewa. Mtu unaamsha unagonga unaishia. Unadhani mko wangapi?
Kwanini hajali?
Kubali ushauri mkapime
 
Kajichanganya watu wanamchana ana mind...wenye experience tumempa scenario anajifanya et wamepima..anafanya mchezo na kupima nin...anadhan kupima ni kama. Kuj....mba
 
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea, nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi, nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yoyote yale huwa hana kizuizi chochote kile. Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Kudadadeki mpuuzi we
 
Usikute hata unayoyafanya wewe na yeye pia anayafanya ndio maana hakutafuti, akutafute ili iweje? Wakati wewe ukienda kwa wengine na yeye pia anakwenda kwa mwingine?
 
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea, nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi, nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yoyote yale huwa hana kizuizi chochote kile. Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Analikufumania vipi wakati wewe ndio humtafuta? Ulifanya kusudi kuwagonganisha?
 
Back
Top Bottom