Lasikoki
JF-Expert Member
- Jan 10, 2010
- 640
- 118
Pole sana, nimesoma mawazo ya wengi naona wamechukulia utani, nachokushauri ni kwamba umefanya vema kumpa mapema umjue mwenzio, mtafutie nafasi nyingine mpe ajaribu tena ukina hawezi kabisa, achana naye mapema utapata matatizo bure maishani, utakuwa unatoka nje ya ndoa baaadaye kwa jambo ambalo umeliona mapema liepuke mapema. Wengi watakusema ila wewe ndo unajua.
Mimi si daktari ila nafahamu vijana wengi wanatumia punyeto wakidhani ndo njia ya kujiepusha na ngono hadi waoe kumbe wanaharibu nguvu za kiume. Mulize huyo jamaa kama hapigi punyeto hadi kesho utaniambia mwongo. Tabia ya punyeto inadhoofisha mishipa ya damu kwenye uume pia inazoea mkono mgumu sasa ukiingiza ukeni anahisi laini sana anapiga bao haraka baada ya hapo hawezi kuendelea kwasabu amezoea kwenye punyeto ni goli moja tu.
Daktari anaweza kumsaidia kujitune upya kisaikolojia na pia kuandaa mwili kusubiri bao la pili au kudelay kidogo angalau akuridhishe na hiyo ni endapo ata stop punyeto na kujitambua haraka.
Naona wengi wameshauri anywe redbull na amarula au hicho kingine, si ushauri mzuri kuubeba kama mwenzio ni mkristo mwaminifu usimpoteze pia ukisema jambo kama hilo atakuona kumbe mnywaji.
acha uongo wewe! Una any scientific evidence ya usemayo au ni hisia zako tu.......