Haniridhishi jamani

Lasikoki

JF-Expert Member
Jan 10, 2010
640
195
Pole sana, nimesoma mawazo ya wengi naona wamechukulia utani, nachokushauri ni kwamba umefanya vema kumpa mapema umjue mwenzio, mtafutie nafasi nyingine mpe ajaribu tena ukina hawezi kabisa, achana naye mapema utapata matatizo bure maishani, utakuwa unatoka nje ya ndoa baaadaye kwa jambo ambalo umeliona mapema liepuke mapema. Wengi watakusema ila wewe ndo unajua.
Mimi si daktari ila nafahamu vijana wengi wanatumia punyeto wakidhani ndo njia ya kujiepusha na ngono hadi waoe kumbe wanaharibu nguvu za kiume. Mulize huyo jamaa kama hapigi punyeto hadi kesho utaniambia mwongo. Tabia ya punyeto inadhoofisha mishipa ya damu kwenye uume pia inazoea mkono mgumu sasa ukiingiza ukeni anahisi laini sana anapiga bao haraka baada ya hapo hawezi kuendelea kwasabu amezoea kwenye punyeto ni goli moja tu.
Daktari anaweza kumsaidia kujitune upya kisaikolojia na pia kuandaa mwili kusubiri bao la pili au kudelay kidogo angalau akuridhishe na hiyo ni endapo ata stop punyeto na kujitambua haraka.

Naona wengi wameshauri anywe redbull na amarula au hicho kingine, si ushauri mzuri kuubeba kama mwenzio ni mkristo mwaminifu usimpoteze pia ukisema jambo kama hilo atakuona kumbe mnywaji.

acha uongo wewe! Una any scientific evidence ya usemayo au ni hisia zako tu.......
 

majorbuyoya

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,829
1,225
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
................acha kumdhalilisha jamaa yako wewee!!!! umtemee mate ili iweje ndo ingesaidia awe anachelewa ku-ejaculate au?. Hilo suala limetokea mara moja tu sikuona sababu ya kuja kumuanika hivyo jamaa yako kwa maneno uliyoandika hapo juu. Umeandika unataka ushauri sawa umeeleweka, sikiliza watu watakachokushauri na sio ku-expose weakness za mahusiano yenu. .Baada ya kupata ushauri hapa muongozane church na huyo jamaa yako mkatubu kwa uzinzi wenu huo mlioufanya.
 

jason

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
315
250
itakuwa ni ukame tuu,kwanza sema anaduu mara ngapi moja tu ,au mbili tatu au zaidi kama ni mara moja na ni muda mfupi kama wa jogoo hapo kazi ipo je na mara ya ipli bado akichungulia tu huyoooo au vinginevyo?
 

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
0
inawezekana katika process yenu ya uchumba tayari ulishakuwa na msuguaji mwingine, sasa unapolinganisha unaona afadhali ya huyo kuliko mchumba; na huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa utungu wako.

Ushauri kama unampenda: mpe muda...!!!
 

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,128
2,000
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

Nenda magomeni makanya kuna mwanajeshi anabaka watu, huyo nasikia akipanda ni mpk dkk 45
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,666
2,000
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyejeNDIO MAANA TUNASHAURI TUSUBIRI HAD TUFUNGE NDOA
HAPO SASA IBILISI ANATAKA KUINGIZA FTNA ZAKE,WE MPE NAFASI
ILA PIA INAONESHA NDUDE YAKO IKO TYN SANA AND SO HOT KIAS KWAMBA JAMAA AKIPENYEZA ILE PIPI YA KIJITI UZALENDO UNAMSHINDA ATAFIKIA WAKATI ATAZOEA TUH
AU BAO LA KWANZA WE INYONYE KWANZA PIPI YA KIJITI AF KUANZIA LA PILI MWACHE AANZE KUCHAKARIKA
AKIENDELEA NA HIYO HALI MZABE KIBAO CHA USO NAWW KUONESHA HASIRA YAKO KIDOGO
:smile: :smile:
 

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
0
kusex ni mara ya kwanza lakini huwa tunakutana na kushikana na wakati romance haifiki hata dakika 2 tayari anakua ameshajikojelea kwenye suruali mi hii sijawai kuona aiseee!!!!


Utakuwa vizuri ukitoa vyote na siyo vipande vipande. Tutakushauri vizuri zaidi. Toa matatizo yote hapa
 

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
218
500
haya ndugu zangu nimerudi tena kutokana na ukimya niliokua uliokuwepo, tumerudia sex mara 4 kwa siku tofauti hali ni hiyo hiyo nimejaribu kuongea nae kirafiki tu amesema anamapungufu hayo na hali hiyo imemjengea hofu kuwa na mahusiano kwani kiwa anaekua nae anamkimbia ameniomba nimsaidie jaman nisaidien tena atumie dawa gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom