mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?
Huyo kakurudia kwa malengo, usidhani kweli anakupenda. Ndiyo maana anataka atimize timize wajibu na siyo kukupa penzi lake la moyoni. Hata kwa daktari hajawahi fika hata siku moja!mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?
Kama hali ndio hiyo mkuu usje ukaenda chumvini mama akiwa mjamzito, unaweza ukauwa kizazi. Dah!
Dah! kamanda ile nyumba ndogo inakusaka mbaya sana!lazima mtoto atokezee kipofu.....

Dah! kamanda ile nyumba ndogo inakusaka mbaya sana!

bek to ze topik: jamaa denda lake linaweza kutumika kutengezea spray za kuulia nzi.
au kutengenezea moskwito repellent,lol! i will be 1st customer!

Dah! kamanda ile nyumba ndogo inakusaka mbaya sana!
bek to ze topik: jamaa denda lake linaweza kutumika kutengezea spray za kuulia nzi.( kama hii kesi ni kweli)
mate ya jamaa yanaweza kuwa klasifaidi kwa simbo hii cx}<:?
hapo anakwambia kistaarabu kuwa unanuka mdomo,huna meno yaliyooza ? unapiga mswaki mara 2-3 kwa siku ? unasugua ulimi ? kama majibu yote ni ndio basi sukutua na maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi na pia tafuna chewing gum ya mint.

Tanzania tuna maadini mengi ujue! wataalam tu ndo hatuna. jamaa kama angezaliwa marekani huyu angekuwa anatembezwa kwa mwavuli kama maiko jackson ili kemikali zake zisilowe mvua