Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

Mimi nitaona tu powa kwani kunakitu atahitaji nanimatumizi ikifika huomuda unamwambia mwambie dogo akukeshie basi.
 
Huyo ni kati ya wale wanawake ambao wanajifanya wana haki sawa ndani ya nyumba , yaani siku anatamani akwambie na wewe upike au ufue, hayo anayo fanya kwa shemej yake nikujikosha tu aonekane ana upendo kwa ndugu zako.
 
Hapa nimekaa nikiwaza mbuyu na ukubwa wote ule kumbe haukuanza vile kuna nyakati wanasema ulikuwa na udogo wa mchicha pia nawaza ule msemo mvua utanguliwa na mawingu
 
ashaliwa na dogo huyo
IMG-20210730-WA0052.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom