Hangaika Yetu Yote Hii Tunatafuta Mambo Manne(4) Tu..!!!

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
18,596
45,225
Katika maisha kila kitu ambacho tumekuwa tukikifanya,tumekifanya kwa lengo la kuboresha maisha yetu.Hata hivyo,tunaweza kuwa na mipango na malengo mengi ya kimaisha,lakini pamoja na wingi huo,mipango na malengo hayo yanaangukia kwenye fungu moja wapo kati ya haya yafuatayo;

(a)Fungu la kwanza linahusu tamaa au hamu yetu ya kuwa na uhusiano wenye furaha na watu wengine.Tunaamini kuwa na maisha yenye utulivu na furaha,kuwaheshimu watu wengine na kuheshimiwa..kuwa na muingilianao na ushirikiano na watu wengine.

(b)Fungu la pili linahusu hamu na nia yetu ya kufanya kazi tunazozipenda,kuvutiwa nazo na zinazotupa changamoto ya kutosha..na vilevile tujue kwamba,wakati mzuri kwetu na wa kukumbukwa katika maisha yetu ni pale tunapofanikisha kutimiza yale tunayotamani kuyafanya..

(c)Fungu la tatu linahusu hamu na nia yetu ya kutaka kujitegemea na kuwa huru,kuhusiana na masuala ya kipesa..tunatamani kuwa huru kutoka kwenye matatizo yote yanayohusu pesa,kuwa na pesa za kutosha na kufikia kiwango fulani cha pesa,.Ili tutakapo staafu na kuzeeka tusipate shida ya pesa.Bila shaka kuwa na pesa kunakuweka huru mtu kutoka kwenye umasikini na kutegemea misaada kutoka kwa wengine.Ni wazi kabisa kwamba,iwapo utaokoa na kutunza pesa zako na kuwekeza kwenye miradi inayofaa na yenye uwezo wa kuzalisha faida,basi uhakika upo wa kujiongezea uhuru huo.

(d)Fungu la nne linahusu hamu yetu yakuwa na afya bora na imara,kuwa huru kutoka kwenye maradhi ya aina mbalimbali,na kuendelea kutiririsha nishati na hisia mbalimbali..
Hata hivyo kichocheo kikubwa kinachohitajika kufanikisha mambo yote hayo manne ni kiwango cha juu cha nishati tunayokuwa nayo.Nishati yetu ni AKILI,UFAHAMU na NGUVU ZA MWILI.Kufanikiwa kwa jambo lolote lile hata kama ni dogo katika moja wapo ya mafungu haya,linahitaji maendeleo endelevu na matumizi bora ya nishati hiyo...Bila nishati hiyo haitakuwa rahisi kwetu kufanikisha mambo hayo...

Ni hayo tuu,.niwatakie jumapili njema na mwanzo mwema wa wiki...

~MC~
 
Tunatuta pesa tu mengine nimatokeo baada ya pesa
 
U ar right kwa upeo wako.. The mentioned ar just things that makes a person a better person.
But! y should u be a better person?
Wat is ur purpose?
 
Mimi sitafuti pesa kabisa.

Kwanza natafuta furaha yangu pesa ni ziada.

Sasa hivi natoa pesa kusomea kitu ambacho nina imani kitaweza kunipa furaha ya moyo wangu.
Umekua na falsafa hiyo toka lini mkuu?Baada ya kupata pesa au kabla...
 
Katika maisha kila kitu ambacho tumekuwa tukikifanya,tumekifanya kwa lengo la kuboresha maisha yetu.Hata hivyo,tunaweza kuwa na mipango na malengo mengi ya kimaisha,lakini pamoja na wingi huo,mipango na malengo hayo yanaangukia kwenye fungu moja wapo kati ya haya yafuatayo;

(a)Fungu la kwanza linahusu tamaa au hamu yetu ya kuwa na uhusiano wenye furaha na watu wengine.Tunaamini kuwa na maisha yenye utulivu na furaha,kuwaheshimu watu wengine na kuheshimiwa..kuwa na muingilianao na ushirikiano na watu wengine.

(b)Fungu la pili linahusu hamu na nia yetu ya kufanya kazi tunazozipenda,kuvutiwa nazo na zinazotupa changamoto ya kutosha..na vilevile tujue kwamba,wakati mzuri kwetu na wa kukumbukwa katika maisha yetu ni pale tunapofanikisha kutimiza yale tunayotamani kuyafanya..

(c)Fungu la tatu linahusu hamu na nia yetu ya kutaka kujitegemea na kuwa huru,kuhusiana na masuala ya kipesa..tunatamani kuwa huru kutoka kwenye matatizo yote yanayohusu pesa,kuwa na pesa za kutosha na kufikia kiwango fulani cha pesa,.Ili tutakapo staafu na kuzeeka tusipate shida ya pesa.Bila shaka kuwa na pesa kunakuweka huru mtu kutoka kwenye umasikini na kutegemea misaada kutoka kwa wengine.Ni wazi kabisa kwamba,iwapo utaokoa na kutunza pesa zako na kuwekeza kwenye miradi inayofaa na yenye uwezo wa kuzalisha faida,basi uhakika upo wa kujiongezea uhuru huo.

(d)Fungu la nne linahusu hamu yetu yakuwa na afya bora na imara,kuwa huru kutoka kwenye maradhi ya aina mbalimbali,na kuendelea kutiririsha nishati na hisia mbalimbali..
Hata hivyo kichocheo kikubwa kinachohitajika kufanikisha mambo yote hayo manne ni kiwango cha juu cha nishati tunayokuwa nayo.Nishati yetu ni AKILI,UFAHAMU na NGUVU ZA MWILI.Kufanikiwa kwa jambo lolote lile hata kama ni dogo katika moja wapo ya mafungu haya,linahitaji maendeleo endelevu na matumizi bora ya nishati hiyo...Bila nishati hiyo haitakuwa rahisi kwetu kufanikisha mambo hayo...

Ni hayo tuu,.niwatakie jumapili njema na mwanzo mwema wa wiki...

~MC~
Oooh, sawa nimekuelewa
 
1. Finacial freedom
2. Love freedom
3. Work freedom
4. Health freedom

Hakika umenena vyema.
Mother Confessor
 
Back
Top Bottom