lala usingizi wa pombe ukiisha amka kunywa maji lala tena ......
ngumu sana labda unywe bia mbili upige maji ila hii hutalewa kama unania ya kupata stimu!
!
Hapo sawa, sasa nimekunywa eti ninywe na lita mbili au tatu, zitakaa wapi?
Hii hasa ndio sababu na sio hizo blah blah za mtoa madaThe main cause of a hangover is ethanol – the alcohol in your drinks. It's a toxic chemical that works in the body as a diuretic, which means it makes you pee more and you can become dehydrated as a result. Dehydration is one of the main causes of your hangover symptoms.
Why do hangovers occur?
Kutoa lock ni kunywa kama mbili au tatu baada ya kiamka asubuhi na hangover.Unajua maana ya "kutoa loki"? Jamaa yangu mmoja huniaga anapopata hangover kuwa anaenda kuondoa loki,sijui humaanisha nini.
Ok, thanks. Kumbe ni simple hivyo? Sasa michemsho yote iliyoelezwa ni ya nini?Kutoa lock ni kunywa kama mbili au tatu baada ya kiamka asubuhi na hangover.
Hiyo ndiyo humu imeitwa "kuondoa lock".Tangu nianze kunywa pombe leo yapata miaka 32 nikiamka na hangover natafuta Castle lager 2 nazimua narudi mzima kabisa kazi naingia kama kawaida tu kauli mbiu kunywa bia angalia na familia yako
Kweli JF tunajifunza mengi, yaani nimekukubali mkuu!
!
We jamaa yaani nitoke kutupia vyombo vimefika mahala pake halafu ninywe maji lita moja au mbili, kweli? Si nitalala chooni sasa mkubwa au! Hi sayansi ya wapi? Au ndio ya uchumi wa kati wa viwanda
Kweli JF tunajifunza mengi, yaani nimekukubali mkuu
Ethanol (ethyl alcohol) is oxidized (hydrogen removed) by alcohol dehydrogenase to acetyl aldehyde which is responsible for the hangover.The main cause of a hangover is ethanol – the alcohol in your drinks. It's a toxic chemical that works in the body as a diuretic, which means it makes you pee more and you can become dehydrated as a result. Dehydration is one of the main causes of your hangover symptoms.
Why do hangovers occur?
Ndizi?Dawa ya hangover piga ndizi mbivu asubuhi habari hapo imeisha...
Ethanol (ethyl alcohol) is oxidized (hydrogen removed) by alcohol dehydrogenase to acetyl aldehyde which is responsible for the hangover.
Acetyl aldehyde is converted to acetic acid and water by acetyl aldehyde dehydrogenase
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa pole bibie we ulikula za kushiba ndio tatizo, unatakiwa upige tu moja