Handsome hadi uzeeni.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
1265883939_mandelanelsonneww.jpg
 
heheheh fagilia fagilia wewe
haya bwana ..wanakuita handsome au unajiita handsome ?;)
dunia ya leo inabidi ujinade mwenyewe najiita, hila nina sumaku ya kuvuta wanavyodai.

kama ungejua FL1 wewe ndio sababu ya mi kujiunga humu ndani unauvutio fulani fulani hivi na maneno yako. hiyo avatar yako na hisi aiko tofauti na chombo chenyewe if not better.
 
hahahahaha hebu nikapike kwanza wewe ndio Mandela ? au mmasai handsome
 
Haya mrembo hila taratibu usijiunguze, mi wewe niiite chochote niweza kufika karibu yako (joke) kwi kwi kwi.

Hila unavutia sana we huji tu, sisi wengine ndio tunao umia FL1 kweli kabisa hiyo.
 
dunia ya leo inabidi ujinade mwenyewe najiita, hila nina sumaku ya kuvuta wanavyodai.

kama ungejua FL1 wewe ndio sababu ya mi kujiunga humu ndani unauvutio fulani fulani hivi na maneno yako. hiyo avatar yako na hisi aiko tofauti na chombo chenyewe if not better.

Rafiki, si umkaribishe valentino pale utakapopaparaz? ila umtahadharishe aje amekamilika, sio maswala a kusema ngoja niende ATM kidogo kumbe mambo mazito
 
Bahati hiyo ningeipata ya kumtoa dinner mbona ningeringa sana masai mie. Si unaona anajiita FL1 ujue ni daraja la juu hilo. Kama ni timu ya mpira owner billionaire inalipa mwisho wa siku.

Hila kwa akiba ya maneno angenipa hiyo nafasi aje yeye tu na tumbo tupu mimi ntamalize mengine ale, anywe, acheze, afurahi mengine yatakua maamuzi yake im a gent unajua.
 
Handsomeboy kweli umemzimikia FL1, jitahidi utafika.
Ila kama unavyomwona anahitaji matunzo ya uhakika, akianza kukuambia salon 70,000/= kwa ajili ya steaming usilalamike
 
Kweli ni handsome haswa, lakini hii, picha ni ya lini maana sidhani kama alivyo sasa hivi ndivyo alivyo kwenye picha (correct me if am wrong).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom