Handling the truth!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
images

Baada ya kuambiwa ukweli, lipi lina unafuu kwako?

a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe

au,

b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda
 
mbona sentesi zote tata

hapa utaniambiaje unanipenda halafu umecheat bana kwanini hukunieleza unataka nini nikupatie ulichofuata huko kama unanipenda kweli

mmh ni ngumu kidogo unaweza fanya yote lakini kama mapenzi yameisha itabidi nitafute mbinu za kuyarudisha hapa ni pagumu maana inaweza chukua years kurudisha trust na love iliypotea inahitaji uvumilivu wa hali ya juu

kwakweli bora usiniambie especially kama tumeshaoana we jaribu kuniambia vidokezo tu kama mama jaribu ujipende zaidi,acha hichi fanya kile nitaelewa kunitamkia nehi chei acha aiseeeeee
 
Unavimbishwa kichwa na utetezi kama huu;

"...nisamehe ni shetani tu alinipitia!" au,

"...'jitu' lenyewe halijui mapenzi, wala siku enjoy kama ninavyo enjoy nawe!"
 
mbu wasema utaongea we kuna wimbo nasikiliza unaimba

maumivu ya mapenzi mtu hajikandi kwa maji wala hamna upasuaji sijui nani kaimba?

aise acha inauma unaweza kujipoonza kwa kusema ivo lakini unachoma mwili kwa ndani bora mtu akunase vibao mtu wangu
Unavimbishwa kichwa na utetezi kama huu;

"...nisamehe ni shetani tu alinipitia!" au,

"...'jitu' lenyewe halijui mapenzi, wala siku enjoy kama ninavyo enjoy nawe!"
 
mbona sentesi zote tata

a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe
hapa utaniambiaje unanipenda halafu umecheat bana kwanini hukunieleza unataka nini nikupatie ulichofuata huko kama unanipenda kweli

b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda

mmh ni ngumu kidogo unaweza fanya yote lakini kama mapenzi yameisha itabidi nitafute mbinu za kuyarudisha hapa ni pagumu maana inaweza chukua years kurudisha trust na love iliypotea inahitaji uvumilivu wa hali ya juu

kwakweli bora usiniambie especially kama tumeshaoana we jaribu kuniambia vidokezo tu kama mama jaribu ujipende zaidi,acha hichi fanya kile nitaelewa kunitamkia nehi chei acha aiseeeeee

Chauro, naomba nikutoe out weekend hii mama!!!!!
 
mpaka nigongewe mihuri na katibu kata ndo natoka weekend we huoni izo sentesi tata hapo juu
 
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe

au,

b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda[/QUOTE]

very confusing ............................

...what's confusing afrodenzi sasa? uamuzi au swali?
Ngoja nikupe Quote hii halafu rejea swali;

Mume/Mke/fiancee anakwambia;

"I love you, and because I love you, I would rather have you hate me for telling you the truth
than adore me for telling you lies."
 
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe

au,

b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda

...what's confusing afrodenzi sasa? uamuzi au swali?
Ngoja nikupe Quote hii halafu rejea swali;

Mume/Mke/fiancee anakwambia;

"I love you, and because I love you, I would rather have you hate me for telling you the truth
than adore me for telling you lies."[/QUOTE]

i do understand the question ....
lakini kila nikitaka kukupa jibu au maoni yangu.....
i get mixed thoughts ....
i get confused .....
late me think a bit i will be back....
 
images

Baada ya kuambiwa ukweli, lipi lina unafuu kwako?

a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe

au,

b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda

Jambo lolote linalokuumiza au kumuumiza mwenzako halina UNAFUU so hapo hakuna chenye unafuu sababu tayari ameishacheat
 
...what's confusing afrodenzi sasa? uamuzi au swali?
Ngoja nikupe Quote hii halafu rejea swali;

Mume/Mke/fiancee anakwambia;

"I love you, and because I love you, I would rather have you hate me for telling you the truth
than adore me for telling you lies."

i do understand the question ....
lakini kila nikitaka kukupa jibu au maoni yangu.....
i get mixed thoughts ....
i get confused .....
late me think a bit i will be back....[/QUOTE]

There is no mixed thoughts on this simply someone has cheated there's is no way you can start giving yourself options unless you are in a blind mood.
 
Back
Top Bottom