Unavimbishwa kichwa na utetezi kama huu;
"...nisamehe ni shetani tu alinipitia!" au,
"...'jitu' lenyewe halijui mapenzi, wala siku enjoy kama ninavyo enjoy nawe!"
mbona sentesi zote tata
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe
hapa utaniambiaje unanipenda halafu umecheat bana kwanini hukunieleza unataka nini nikupatie ulichofuata huko kama unanipenda kweli
b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda
mmh ni ngumu kidogo unaweza fanya yote lakini kama mapenzi yameisha itabidi nitafute mbinu za kuyarudisha hapa ni pagumu maana inaweza chukua years kurudisha trust na love iliypotea inahitaji uvumilivu wa hali ya juu
kwakweli bora usiniambie especially kama tumeshaoana we jaribu kuniambia vidokezo tu kama mama jaribu ujipende zaidi,acha hichi fanya kile nitaelewa kunitamkia nehi chei acha aiseeeeee
mpaka nigongewe mihuri na katibu kata ndo natoka weekend we huoni izo sentesi tata hapo juu
very confusing ............................
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe
au,
b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda
sasa alikwenda huko kucheat kwa nini?
Baada ya kuambiwa ukweli, lipi lina unafuu kwako?
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe
au,
b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda
I think I'll choose option (a)
...what's confusing afrodenzi sasa? uamuzi au swali?
Ngoja nikupe Quote hii halafu rejea swali;
Mume/Mke/fiancee anakwambia;
"I love you, and because I love you, I would rather have you hate me for telling you the truth
than adore me for telling you lies."