Nyie wanasheria wa darasani bwana! Halima Mdee hakufanya matendo yale ya kihuni kama mwenyekiti wa Bawacha, alifanya kama mwanachama wa Chadema, halafu unataka ashughulikiwe kama mwenyekiti wa Bawacha? Haya mapungufu unayoyaonesha hapa nadhani ni kwa vile elimu yako ya sheria "haijaboreshwa", ...jiongeze!Msingi mkuu wa kutawala nchi ni kufuata Katiba, sheria, taratibu na kanuni. Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha, ni Baraza Kuu, CC ya Chadema, ilipata wapi mamlaka ya kumvua uanachama Halima Mdee?!. Halafu Baraza Kuu likabariki!.
Can such people, be entrusted with Ikulu yetu?. Jee wakishinda Ikulu yetu wangeweza?.
P