Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,120
- 27,933
utashikwa nyeti nawewe ukimsubiri hamza.
huna tofauti na huyo dogo analyelalamika kuporwa demu wake mzuri.
utashikwa nyeti nawewe ukimsubiri hamza.
huna tofauti na huyo dogo analyelalamika kuporwa demu wake mzuri.
Haya mashenzi yanayojulikana kwa jina la PT kiboko yao ni Hamza tu..Jeshi la Polisi Handeni linalalamikiwa kushika Nyeti za wanawake Wilayani Handeni mkoani Tanga kwa nguvu bila ridhaa ya wanawake hao
View attachment 1920373
Maza mwenyewe ni wa kufutilia mbali!Nchi hii wanaoongoza kuleta chuki na maza kuonekana hafai ni hawa watu.
Wameleta chukizo ambalo halijawahi kutokea.
Ningekua maza ningewafutilia mbali na kuajiri wapya
Yale majizi ya TAMWA hayajaona hili?Jeshi la Polisi Handeni linalalamikiwa kushika Nyeti za wanawake Wilayani Handeni mkoani Tanga kwa nguvu bila ridhaa ya wanawake hao
View attachment 1920373
Nani anamtaka polisi?Hao watoto wazuri wanatongozeka kabisa haina haja ya matumizi ya nguvu
Mlimuweza Ole Sabaya pia?Arusha tulishakomesha huu mchezo wa kishamba...na mabausa tulishaawambia mtu akiingia na cheo chake club halafu akaleta ushenzi ni HALALI YAO...nenda The Bills XO Picnic Triple A huu ushenzi haupo....
Akitoka kazini si anavaa kihom hom.....Nani anamtaka polisi?
Ishia dk4:45 baada ya hapo ni matangazo