Handeni, Tanga: Polisi wadaiwa kushika nyeti za wanawake kwa nguvu bila ridhaa

Mapolisi wanapenda kamserereko kwa lazima mbona wanaaibisha jeshi lao sasa
 
Tanga nilisikia wataalamu wa mambo Fulani ya asili, si wafanye mfano kwa mmoja iwe fundisho kwa wengine?
 
AUYZ3t.jpg
 
Arusha tulishakomesha huu mchezo wa kishamba...na mabausa tulishaawambia mtu akiingia na cheo chake club halafu akaleta ushenzi ni HALALI YAO...nenda The Bills XO Picnic Triple A huu ushenzi haupo....
 
Back
Top Bottom