Hana bikra hana mtoto ,muuwaji huyo.

ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
882
1,000
Sawa inawezekana zinatolewa ila kutokua na mtoto haimaanishi labda huyo mtu ametoa or huwa anatoa mimba kuna njia za kuzuia, pia kuwa na mtoto haimaanishi sana kwamba huyo mtu hakutoa mimba zingine before. Mi nadhani tusigeneralize hapo. Si kweli kwamba asiye na mtoto na si bikra basi ni muuaji
Utetezi wako umeeleweka una hoja ya msingi,na inawezekana hujawahi kutoa mimba ndio maana hujapanic,comment za watoa mimba hazifichiki
 
Lob

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
803
1,000
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
Mbona una hasira Mkuu nini kimekukuta
 
ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
882
1,000
Wewe punguani nini hao viumbe uliweka wewe nikawaua kwa hiyo kila anakushangaa upupu ulioandika ni mwanamke wewe mwendawazimu nini.
Kuna aliyenishangaa zaidi yako wewe mtoa mimba? Narudia tena nimerusha jiwe kwenye kundi la mbwa anayebweka limemkuta,endelea kubweka ukiugulia maumivu
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,196
2,000
Kwa upande una point, ila anayefanya amefikia hatua hiyo ni sisi tunaotaka kuonja, mtoto wa watu anakuja very serious, then ukishapata utakacho unakimbia afanyeje sasa? Tuache uharibifu hayo hayatakiwepo
 
ggenerale

Senior Member
Jan 20, 2018
178
500
Hooo mimi siwezi kuoa mwanamke aliyezalishwa (single mother)sawa usioe ila hakikisha utakayemuoa ana bikra,kama hana bikra ujue alishatiwa mimba kumi kidogo akaziporomosha,umeoa jambazi muda wowote anaweza akakutoa roho kwa jambo dogo tu,kama kuna mtu anaona kuuwa ni jambo jepesi basi na hawa wanawake waliokwisha waua watoto wao wakiwa matumboni mwao,ni watu hatari kuliko corona ,hawachelewi kuuwa au kujinyonga.
Nawapenda sana single mothers,wana mioyo ya upendo na uvumilivu ,walijua wataitwa majina ya ajabu ajabu lakini hawakuwa tayari kuuwa kiumbe kisichokuwa na hatia,kama nilishawahi kuwasema vibaya popote nisameheni.
Hebu waacheni wanawake, wakitunyima TUNALALAMIKA, wakitupea TUNAWADHARAU, Tukiwapa mimba TUNAWAKIMBIA, wakitoa WAUWAJI, wakikomaa wakizaa SINGO MAZA,Tunawadharau.

Nilishasema sitokaa nihukumu mwanamke, kwani Dunia hii hakuna kitu kazi kama kuwa MWANAMKE.

NB: Nakupa jaribio, tafuta siku nenda baa, tafuta malaya anaejiuza, mtreat kwa heshima kama mwanamke, mzoee, mpe uhuru wa kuongea, alafu muulize ilikuwaje akafika hapo..

Utagundua ROOT CAUSE inarudi kwa mwanaume...

TUWAHESHIMU HAWA VIUMBE PALE INAPOBIDI.
 
Kama akikupa wewe halafu akampa na mwingine halafu wewe ukajua ,utamsifia?
Ikitokea akashika mimba hali ya kuwa unajua mlikuwa 10 kwenye foleni ,utakubali mimba ni yako?
 
ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
882
1,000
Kwa upande una point, ila anayefanya amefikia hatua hiyo ni sisi tunaotaka kuonja, mtoto wa watu anakuja very serious, then ukishapata utakacho unakimbia afanyeje sasa? Tuache uharibifu hayo hayatakiwepo
Ukionja halafu akatulia na wewe ukimwacha umemuonea, tatizo lao hawatulii wanapenda kuchangisha wanajiona vitega uchumi,yakiwakuta ya kuwakuta lawama kwa kwetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom