Hamza Rashid Abdallah akamatwa kwa kosa la kulawiti watoto wa kiume 5 Sumbawanga

Mungu Tusamehe Afrika

Senior Member
Jan 18, 2022
139
204
Habari,

Hamza Rashid Abdala@ustadhi amekamatwa huko Sumbawanga kwa kosa la kulawiti vijana wa kiume zaidi ya 10 katika kitongoji cha Utengule Manispaa ya Sumbawanga.

Awali hamza alikuwa anakabiliwa na kesi Na.150/2020 baadaya kumbaka mwanafunzi huko Muze Sumbawanga Vijijini ambapo alitoroka akiwa nje kwa dhamana lakini Mahakama iliendelea na kesi hiyo hadi mwisho na mtuhumiwa huyo kuhukumiwa akiwa hayupo mahakamani.

Wakati huo huo anakabiliwa na kesi nyingine ya kulawiti huko Lindi ambapo pia alitoroka na kukimbilia huko Sumbawanga ambako aliendeleza tabia yake hiyo ya ufirauni chini ya kivuli cha mwalimu wa madrasa.

Kijana huyu ni hatari sana kwani hata alipodhamiwa na msamalia mwema na kumhifadhi shambani kwake yeye na binti mdogo sana aliyemzalisha huko kijiji cha Malonje aliweza kumwibia kila kitu huko shambani na kutoroka ambapo anakabiriwa na kesi ya wizi huo ambapo atafikishwa mahakamani yeye na huyo binti aliyemzalisha na kudai ni mke wake.

Nawasilisha.
View attachment 2271913
 
Huu uzi mbona haueleweki. Mara kalawiti sumbawanga akakamatwa akatoroka, mara kalawiti Lindi, mara akarudi Sumbawanga, mara akamzalisha aliempa hifadhi (hatujui hifadhi hiyo alipewa lindi au Sumbawanga) mara na huko kaondoka kaiba. Yani huu uzi umeandikwa kimuhemko sana kiasi kwamba muandikaji alilenga kulichafua kundi fulani na kusahau fact.
 
Nipo hapa kama Putin nasubiri wale watakaokuja vibaya niwape spana za kutosha maana nina file zima lenye screenshot na photo zenye evidence za kutosha kuwanyamazisha wale wenye mambo ya kiwaki.
Una ushahidi wa picha wa jamaa akiwa anafanya hayo mambo?
 
Habari,

Hamza Rashid Abdala@ustadhi amekamatwa huko Sumbawanga kwa kosa la kurawiti vijana wa kiume zaidi ya 10 katika kitongoji cha Utengule Manispaa ya Sumbawanga.

Awali hamza alikuwa anakabiliwa na kesi Na.150/2020 baadaya kumbaka mwanafunzi huko Muze Sumbawanga Vijijini ambapo alitoroka akiwa nje kwa dhamana lakini mahakama iliendelea na kesi hiyo hadi mwisho na mtuhumiwa huyo kuhukumiwa akiwa hayupo mahakamani.

Wakati huo huo anakabiliwa na kesi nyingine ya kulawiti huko Lindi ambapo pia alitoroka na kukimbilia huko Sumbawanga ambako aliendeleza tabia yake hiyo ya ufirauni chini ya kivuli cha mwalimu wa madrasa.

Kijana huyu ni hatari sana kwani hata alipodhamiwa na msamalia mwema na kumhifadhi shambani kwake yeye na binti mdogo sana aliyemzalisha huko kijiji cha Malonje aliweza kumwibia kila kitu huko shambani na kutoroka ambapo anakabiriwa na kesi ya wizi huo ambapo atafikishwa mahakamani yeye na huyo binti aliyemzalisha na kudai ni mke wake.

Ni wakati sasa kuzichunguza imani na dini zilizoletwa Afrika kwani zote zina mapungufu zaidi kuliko faida kama vile ulawiti,ushoga,n.k

Nawasilisha.
Huyo atakuwa ametumwa na Allah wa mtume.

Au USA anahusika, Waislam wa Jf mnasemaje.
 
Huu uzi mbona haueleweki. Mara kalawiti sumbawanga akakamatwa akatoroka, mara kalawiti Lindi, mara akarudi Sumbawanga, mara akamzalisha aliempa hifadhi (hatujui hifadhi hiyo alipewa lindi au Sumbawanga) mara na huko kaondoka kaiba. Yani huu uzi umeandikwa kimuhemko sana kiasi kwamba muandikaji alilenga kulichafua kundi fulani na kusahau fact.
Huu uzi wameandikiwa wenye kuuelewa siyo wewe mzee usiteelewa,acha walioandikiwa waje,ebo!!
 
Huyo atakuwa ametumwa na Allah wa mtume.

Au USA anahusika, Waislam wa Jf mnasemaje.
Kama nilivyosema nina file zima kea ajili ya spana za wajinga kama nyie Jf na nitageuka Putin kwenye huu uzi haya soma hiyo
Screenshot_20220621_185651.jpg
 
Habari,

Hamza Rashid Abdala@ustadhi amekamatwa huko Sumbawanga kwa kosa la kurawiti vijana wa kiume zaidi ya 10 katika kitongoji cha Utengule Manispaa ya Sumbawanga.

Awali hamza alikuwa anakabiliwa na kesi Na.150/2020 baadaya kumbaka mwanafunzi huko Muze Sumbawanga Vijijini ambapo alitoroka akiwa nje kwa dhamana lakini mahakama iliendelea na kesi hiyo hadi mwisho na mtuhumiwa huyo kuhukumiwa akiwa hayupo mahakamani.

Wakati huo huo anakabiliwa na kesi nyingine ya kulawiti huko Lindi ambapo pia alitoroka na kukimbilia huko Sumbawanga ambako aliendeleza tabia yake hiyo ya ufirauni chini ya kivuli cha mwalimu wa madrasa.

Kijana huyu ni hatari sana kwani hata alipodhamiwa na msamalia mwema na kumhifadhi shambani kwake yeye na binti mdogo sana aliyemzalisha huko kijiji cha Malonje aliweza kumwibia kila kitu huko shambani na kutoroka ambapo anakabiriwa na kesi ya wizi huo ambapo atafikishwa mahakamani yeye na huyo binti aliyemzalisha na kudai ni mke wake.

Ni wakati sasa kuzichunguza imani na dini zilizoletwa Afrika kwani zote zina mapungufu zaidi kuliko faida kama vile ulawiti,ushoga,n.k

Nawasilisha.
View attachment 2271913
Kwani umesoma kifungu gani KTK hiyo dini ya Hamza kinachomuhalalishia kulawiti/kubaka?
 
Akitokea muhuni yeyote kuchafua uzi naomba mnitag ,nazima data napata supu ya kongoro now.
Acha kutetea uovu Sheikh! Kama kuna Ustaadh anafanya mambo mabaya kwa watoto, lazima achukuliwe hatua kali, kwa mujibu wa sheria.

Hakuna kuleta vitisho hapa. Wewe washa tu data tuone namna utakavyo mtetea huyu mtuhumiwa Ustaadh Hamza Rashid Abdallah wa vitendo vya ulawiti.
 
Back
Top Bottom