Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Kesi aipeleke wapi wakati hata Rais ambaye anategemewa kulinda haki zetu, anawaonea watu anaopashwa kuwalinda... (Mbowe mfano mzuri), Kesi yake angelimpelekea nani?
Yani hata kama walimbaka,wakamchomekea miti wakamsulubisha kwenye miba......bado haihalaliishi mauaji.
 
Video ipo siku ya tukio anasema anampigania Allah na alitaja jina la Siro. Aidha umeamua tu kubisha ila video hata humu JF kuna uzi imewekwa.
Subirini siku wakiamua kuua yoyote Yule bila kujali kavaa Sare za jeshi au la ndio mtajenga sanamu vizuri na kushangilia.
Si rahisi kama unavyofikiria. Polisi, CCM na Serikali, hata wawadhulumu watu kiasi gani, walipizaji kisasi hawawezi kuwalenga raia, japo raia wanaweza kuuawa kwa bahati mbaya.

Magaidi ni kama wale wa Kenya, wanaua kila mtu. Walipizaji kisasi humtafuta aliyewadhulumu au wenye mashikamano na wadhulumaji.

Kuyakwepa hayo yote, ni muhimu sana kutengeneza mifumo na vyombo vinavyolinda haki, na siyo kuendekeza mifumo hii ya kishetani ya kudhulumu na kuonea watu. Hata tuwe na jeshi imara kiasi gani, kama hakuna haki, kama si leo au kesho, tujue kuna siku watapatikana watu watakaojitoa maisha yao kuitafuta haki yao kutoka kwawadhulumaji wa haki za watu.
 
Si rahisi kama unavyofikiria. Polisi, CCM na Serikali, hata wawadhulumu watu kiasi gani, walipizaji kisasi hawawezi kuwalenga raia, japo raia wanaweza kuuawa kwa bahati mbaya...
Gaidi ni gaidi tu. Paka rangi zote gaidi ni gaidi. Hamza was a terrorist. More like Abu Hamza.
 
Amekufa akipinga uonevu wa polisi kupora mali yake, akijua kuwa hata akienda mahakamani atapoteza wakati maana kote huko ni mjumuiko wa wanaopora haki.
Mwenyewe hakutaja hio habari ya kuporwa Mali nyinyi mmeitoa wapi? Mwenyewe kasema anaua polisi kwa ajili ya Allah kupinga uonevu wanaofanyiwa waislamu. Sasa wewe hii ya kuporwa Mali umejitoa wapi? Wenzio wanasema video ya kutengenezwa.
 
Siri kawakamate msikiti waliomswalia Hamza. Hicho ndicho wewe na Askari wako mnaweza. Uonevu.
 
Yani hata kama walimbaka,wakamchomekea miti wakamsulubisha kwenye miba......bado haihalaliishi mauaji.
Kwahiyo he was to forego his rights? Na Msumbiji, SA, Namibia, and all those countries that fought for their independence were not supposed to do that! Naanza kukushangaa! Ukishakuwa CCM, kuna tatizo sana katika kufikiri nadhani...
 
Mwenyewe hakutaja hio habari ya kuporwa Mali nyinyi mmeitoa wapi? Mwenyewe kasema anaua polisi kwa ajili ya Allah kupinga uonevu wanaofanyiwa waislamu. Sasa wewe hii ya kuporwa Mali umejitoa wapi? Wenzio wanasema video ya kutengenezwa.
Hayo unayoyasema, hakuna ushahidi. Kwa nini polisi wahangaike kutengeneza video clip? Hii inaashiria kuna kitu polisi wanataka kuficha. Ile clip, kama wewe una ujuzi wa videoleap, utaona wazi kabisa kuwa video imetengenezwa.

Hili la polisi kumpora dhahabu yake, japo marehemu hakutamka, lakini ni tukio lililofanywa na polisi, na watu wamejaribu kuunganisha matukio, na kutafuta sababu yenye uwezekano mkubwa.
 
Well said
 
Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani

Sehemu gan kasema hayo? Ingekuw hivo si angeuwa hata raia?

Wew ndio kichwa maji tena maji ya betrii maana hujui nin unaandika, sometimes shut up your mouth sio lzma useme kilakitu.
 
Hayo unayoyasema, hakuna ushahidi. Kwa nini polisi wahangaike kutengeneza video clip? Hii inaashiria kuna kitu polisi wanataka kuficha. Ile clip, kama wewe una ujuzi wa videoleap, utaona wazi kabisa kuwa video imetengenezwa.

Hili la polisi kumpora dhahabu yake, japo marehemu hakutamka, lakini ni tukio lililofanywa na polisi, na watu wamejaribu kuunganisha matukio, na kutafuta sababu yenye uwezekano mkubwa.
Pole sana.
 
Sehemu gan kasema hayo? Ingekuw hivo si angeuwa hata raia?

Wew ndio kichwa maji tena maji ya betrii maana hujui nin unaandika, sometimes shut up your mouth sio lzma useme kilakitu.
Alisema kweli na video zipo. Abiria aliyekuepo kwenye daladala alirecord na anaonekana kabisa akisema. Hakusema KWAMBA kaibiwa, hakusema
 
Gaidi ni gaidi tu. Paka rangi zote gaidi ni gaidi. Hamza was a terrorist. More like Abu Hamza.
Kumwita mtu gaidi kama siyo gaidi, hakumfanyi kuwa gaidi.

Huenda hata maana ya terrorist huelewi. Kama ungekuwa unajua maana ya terrorist, usingeshindwa kutambua kuwa Tanzania tuna terrorist police force, na tuna terrorist government. Ndiyo maana wanateka, wanabambikia watu kesi, wanawatesa watu mahabusu na wakati fulani mpaka kusababisha vifo, nia ni kuwafanya raia waogope. Kufanya matendo ya kinyama ili watu waogope, ndiyo maana halisi ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom