stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Wakuuu,
Kuna hiii system iliyoibuka ya kusema kila kitu, eti kasema magufuli, kafanya magufuli, katoa magufuli, hivi hawa watendaji wanaotumia haya maneno ni ushamba au hawajawahi kuwa kwenye serikali zilizopita?
Haya maneno yanatumika kwenye tawala za kifalme huko sio tawala za kupokezana! Juzi tu nimetoka kuona wanasema jengo hili la hospital la Mkoa wa Mara linajengwa na hela ilizotoa magufuli, jamani magufuli katoa wapi mabilioni? Kwa nini mnakuwa watu Wa ajabu hivyo? Sema hela zimetolewa na serikali basi Kama lazima umtaje malizia na serikali Ya magufuli, mnakera jamani.
Leo tena nimeona kwenye Mkopo wa bank ya dunia mnatumia neno kuuunga mkono juhudi za magufuli, hivi hawa watu wametolewa wapi? Kwani hawajawahi kushiriki kwenye serikali za Nyuma? Hivi wanajua wanachosema?
Basi Sema kuunga mkono juhudi za serikali Ya awamu ya tano inatosha bhana mnakera mno, sijui ni ushamba Au ni uoga Au ni kutaka kumfurahisha magufuli Wakati yeye wala hawez kukufanya chochote hata usipo mtaja ni uogo na ushamba tu bhana,
Mimi nitakosoa kwa chochote kile kinachokera na nitasifia chochote kile kinachofanywa vizuri,
Achana na ushamba