Hamuongeleshi

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
0
Rafiki yangu mmoja baada ya kuzalishwa watoto wawili tulimshauri kuhamia kwa jamaa ambaye alikuwa anaonyesha dalili za kumbwaga na wanawe.

Tangu huyo dada ahamie hapo jamaa hamuongeleshi
Naomba msaada tumshaurije?
 

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,510
1,195
Aondoke na wanawe, kama aliweza kuishi nao amwache atamletea maradhi huyu kwani hana mapenzi naye tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom