GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.
Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.
Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.
Swali kwa upinzani
Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?
In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?
Sent using Jamii Forums mobile app