Elections 2010 Hamna website yeyote yenye majumuisho ya wabunge wateule na jumla ya kura za uraisi?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nimezunguka kwenye websites nyingi za kibongo hamna hata moja yenye listi ya wabunge wateule waliotangazwa rasmi(zaidi ya nusu sasa) na jumla ya kura za uraisi nazo pia zaidi ya nusu zimetangazwa.Nisaidieni naweza zipata wapi?
 
hapahapa:smile-big: inategemea na matokeo yanavotolewa na tume baada ya (kuhakikiwa) sijui ka umenielewa apo!:smile-big:
 
Ni aibu kwa karne hii ambapo info is only one click away..na hii inasababishwa na kuwakumbatia viongozi whose ideas are stuck in stone age.
 
hapahapa:smile-big: inategemea na matokeo yanavotolewa na tume baada ya (kuhakikiwa) sijui ka umenielewa apo!:smile-big:

Nimekuelewa lakini si ingekuwa vizuri zaidi zikawekwa kwenye page moja badala ya kila jimbo kuwa na thread yake ingerahisisha sana.
 
JF tu, ingawa sometimes kuna wajinga flani wanaingiza ubwege kwa kutoa habari za kizushi ila bado JF ndo sehemu ya uhakika kwa kupata habari za kweli na kwa haraka
 
JF ni kila kitu sema kuna wjinga wengii humu ndani wanatuleteaga maapango pori kibao
 
Back
Top Bottom