Hamna website yeyote yenye majumuisho ya wabunge wateule na jumla ya kura za uraisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamna website yeyote yenye majumuisho ya wabunge wateule na jumla ya kura za uraisi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by uporoto01, Nov 3, 2010.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimezunguka kwenye websites nyingi za kibongo hamna hata moja yenye listi ya wabunge wateule waliotangazwa rasmi(zaidi ya nusu sasa) na jumla ya kura za uraisi nazo pia zaidi ya nusu zimetangazwa.Nisaidieni naweza zipata wapi?
   
 2. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  hapahapa:smile-big: inategemea na matokeo yanavotolewa na tume baada ya (kuhakikiwa) sijui ka umenielewa apo!:smile-big:
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ni aibu kwa karne hii ambapo info is only one click away..na hii inasababishwa na kuwakumbatia viongozi whose ideas are stuck in stone age.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimekuelewa lakini si ingekuwa vizuri zaidi zikawekwa kwenye page moja badala ya kila jimbo kuwa na thread yake ingerahisisha sana.
   
 5. Kijuram

  Kijuram JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 485
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  JF tu, ingawa sometimes kuna wajinga flani wanaingiza ubwege kwa kutoa habari za kizushi ila bado JF ndo sehemu ya uhakika kwa kupata habari za kweli na kwa haraka
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nenda kwenye www.nec.go.tz utapata matokeo kila yanapotoka.
  i hope that will help.
   
 8. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hao jamaa hiyo link yao inamakosa meeeeeeeengi kichizi, ABSOLUTELY RUBBISH!!!!!!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,338
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  JF ni kila kitu sema kuna wjinga wengii humu ndani wanatuleteaga maapango pori kibao
   
Loading...