Hamna kitu ninachopenda kukifanya kwa mwanamke kama kumhonga

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Labda ni tatizo, lakini huwa najisikia raha sana pale mwanamke anapotoa asante kwa kitu nilichompa. Hii ni kwa sababu hata awe wa maana vipi huwa nikimpa kitukwa nia ya kumhonga akakubali basi huwa najiona ni kama nimeshampata na kumnanihi.. Ni mara moja tu niliwahi kuona jamaa (mwanaume) anapewa mahela na mdada, nilijisikia hovyo. Katika my life hamna kitu nachukia kama kuhongwa na mwanamke, ndiyo maana hata tukiwa mahali tunatumia na wadada wenye mkwanja zaidi yangu huwa najiwahi tu kutoa mwenyewe hata kama naumia ili nijione nipo juu yao. May be its a problem!!?? Any comments?
 
Na ndo maana tunaendelea kuhamasisha maandamano maana hata gharama za kuhonga siku hizi zimepanda. Kima cha chini 50,000!
 
Ni kweli lakini wa kima cha chini hivyo anaweza kuhonga hata buku bado akawa amehonga tu na akajisikia raha
 
halafu ungetuambia unahonga wastani wa shilling ngapi per individual,maake isije ikawa unahonga buku 2 mpaka 5...halafu unasema unapenda kuhonga , na pia hizo bill unazokimbilia ku-settle ni average ya how much.
 
Labda ni tatizo, lakini huwa najisikia raha sana pale mwanamke anapotoa asante kwa kitu nilichompa. Hii ni kwa sababu hata awe wa maana vipi huwa nikimpa kitukwa nia ya kumhonga akakubali basi huwa najiona ni kama nimeshampata na kumnanihi.. Ni mara moja tu niliwahi kuona jamaa (mwanaume) anapewa mahela na mdada, nilijisikia hovyo. Katika my life hamna kitu nachukia kama kuhongwa na mwanamke, ndiyo maana hata tukiwa mahali tunatumia na wadada wenye mkwanja zaidi yangu huwa najiwahi tu kutoa mwenyewe hata kama naumia ili nijione nipo juu yao. May be its a problem!!?? Any comments?[/QUOTE

Kha wewe! Kunanihi.. hii hii ninayoijua mimi, wewe kiboko
 
mtu yuko bukoba anahonga wakulima 500, au buku na kuwahi kulipia bili ya lubisi kwani nayo ni gharama? njoo kempsk au new africa na videm vya mjini bill 1.5m kama utatia mguu next tm
 
Na ndo maana tunaendelea kuhamasisha maandamano maana hata gharama za kuhonga siku hizi zimepanda. Kima cha chini 50,000!

Ajabu siku ilitaka iishe leo bila kucheka lol thanks tuko u have made my day lol!
 
Na ndo maana tunaendelea kuhamasisha maandamano maana hata gharama za kuhonga siku hizi zimepanda. Kima cha chini 50,000!

hahahaaaaa umenikumbusha mkuu kuna jamaa yangu mmoja alipigwa mzinga na denti wa sekondari tu 50,000 ... dah nilichoka!!
 
halafu ungetuambia unahonga wastani wa shilling ngapi per individual,maake isije ikawa unahonga buku 2 mpaka 5...halafu unasema unapenda kuhonga , na pia hizo bill unazokimbilia ku-settle ni average ya how much.

igwe umenifurahisha
 
na mimi hakuna ninachokichukia kama kuhongwa.bora unipe zawadi ndogo sana,nitaridhika nayo.ila zawadi kubwa kwangu mimi ninaziogopa
 
Labda ni tatizo, lakini huwa najisikia raha sana pale mwanamke anapotoa asante kwa kitu nilichompa. Hii ni kwa sababu hata awe wa maana vipi huwa nikimpa kitukwa nia ya kumhonga akakubali basi huwa najiona ni kama nimeshampata na kumnanihi.. Ni mara moja tu niliwahi kuona jamaa (mwanaume) anapewa mahela na mdada, nilijisikia hovyo. Katika my life hamna kitu nachukia kama kuhongwa na mwanamke, ndiyo maana hata tukiwa mahali tunatumia na wadada wenye mkwanja zaidi yangu huwa najiwahi tu kutoa mwenyewe hata kama naumia ili nijione nipo juu yao. May be its a problem!!?? Any comments?

Naomba unihonge kiwanja, kule Mbezi Beach??????????????????????
 
Kuhongwa raha sana ila muwe mnawakumbuka na wazazi wenu utakuta mwanaume kakazana kuhonga huku wazazi wake huko wanakokaa wanalala na njaa, Au mtu aliyeoa home wanashindia kauzu kila siku huku anaenda kuhonga nje.lol
 
halafu ungetuambia unahonga wastani wa shilling ngapi per individual,maake isije ikawa unahonga buku 2 mpaka 5...halafu unasema unapenda kuhonga , na pia hizo bill unazokimbilia ku-settle ni average ya how much.

maneno hayo..
 
Back
Top Bottom