Hamna kitu inakera kama hawa Dereva wa pikipiki (bodaboda) kushutua watu na milio mizito

Yaani hii tabia yao sijui hutokana na nini mtu anaachia stop engine afu paaaaah mlio huko labda road unatembea au uko huna hili wala lile boda inapita anashutua.
Wengine wana presha na wengine umri umeenda. Vijana acheni huu utoto.
Inakera sana kwa kweli. Wengi wao kichwani hamna kitu form four failure ustaarabu kwao ni sifuri yaani
 
Yaani hii tabia yao sijui hutokana na nini mtu anaachia stop engine afu paaaaah mlio huko labda road unatembea au uko huna hili wala lile boda inapita anashutua.
Wengine wana presha na wengine umri umeenda. Vijana acheni huu utoto.
Michezo ya Chugga hii, wajinga sana na kuna baadhi ya vijiwe vya bodaboda nashukuru huwa hawakubali kuwa na member mwenye pikipiki iliyotobolewa exsors
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom