Hamisi Kilomoni alindwe

Mwisho mtasema Kilomoni naye Yanga
Wewe kwanini ujifanye shabiki wa simba wakati tunakujua fika we ni shabiki la makwasukwasu fc...wazee wa kuzunguka na mabakuli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...shabiki kama wewe utashangaa umenunua bando ili uje uichafue simba humu wakati hiyo mia tano ungeweza ichangia timu yako wachezaji wasije wakakosa mishahara wakafa njaa
 
Manji aliomba kitu kama iko cha kuwa na timu ba logo,mali zingine za klabu wala akuzitaka na aliletewa figisu,ajabu huyu mo anataka hati za jengo kabisa,na kishalifanyia hesabu eti lina thamani ya bln 3!

Maji alitaka kufanya usanii huwezi kuomba jina na logo ya club kwa thamani ile ule ulikuwa ni mtego tatizo la hawa matajiri ni kutaka kufunika baadhi ya mambo kwenye mchakato huu
 
Kutesa kwa zamu,wakati ule mlikuwa mnashabikia pumba za Akilimali dhidi ya Manji sasa hivi ni zamu yetu kuchochea kuni Moto.
Hahaaah endeleeni kusubiri kwa kuchochea zikiisha mtuambie tuwaongezee kuni nyingine...πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...tabu ipo pale pale
 
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine

Kwani wewe ulishawahi kuona jema kwa Mo Dewj?

Ulianza kumpiga vita tokea 2017 ↓↓

Ukijaribu kuwaaminisha watu kuwa Mo hawezi kuleta mafanikio yoyote ndani ya Simba.

Nadhani tulishuhudia kabla ya Mo Simba ilikwisha sahau kuhusu Kombe au CAF CL

Lakini baada ya Mo mafanikio ya haya Miaka Miwili tunayaona.

Sasa endelea kumpiga Vita Mo abakie hiyo Tajiri wako Kilomoni alipe wachezaji mishahara, asajili wachezaji, apeleke wachezaji kambini na amlipe kocha wa kigeni.

Nadhani unahisi maneno matupu ya Kilomoni na Kodi ya mapango ya pale Karakoo ndiyo inayoweza kusajili wachezaji na kuwalipa mishahara.
 
Nenda kinondoni Block 41 kaombe appointment na mmiliki Wa simba hafu akikukubalia basi itakuwa ni wasaa mzuri Wa kukueleza kwa kina timu hii aliipataje, ha ha ha

Kilomoni anamiliki Majengo ya Simba pale Kariakoo! Kumbe ni bonge la tajiri.

Sishangai kusikia Simba SC ni kongwe kuanzishwa kuliko umri wa huyo Kilomoni.

Lakini mwisho wa Siku mmiliki amekuwa eti ni Yake bila ya kuianzisha wala kuinunua
 
Kwani wewe ulishawahi kuona jema kwa Mo Dewj?

Ulianza kumpiga vita tokea 2017 ↓↓

Ukijaribu kuwaaminisha watu kuwa Mo hawezi kuleta mafanikio yoyote ndani ya Simba.

Nadhani tulishuhudia kabla ya Mo Simba ilikwisha sahau kuhusu Kombe au CAF CL

Lakini baada ya Mo mafanikio ya haya Miaka Miwili tunayaona.

Sasa endelea kumpiga Vita Mo abakie hiyo Tajiri wako Kilomoni alipe wachezaji mishahara, asajili wachezaji, apeleke wachezaji kambini na amlipe kocha wa kigeni.

Nadhani unahisi maneno matupu ya Kilomoni na Kodi ya mapango ya pale Karakoo ndiyo inayoweza kusajili wachezaji na kuwalipa mishahara.
Sheria na taratibu lazima zifuatwe tu , hatuwezi kuitupa simba eti kwa vile kaja MO , makubaliano yatekelezwe nukta kwa nukta

Lingine ni shukrani zangu kwako kwa kufukua uzi wangu wa kitambo kuhusu MO , nasimama na uzi huo na kuna siku utarudi kunipongeza
 
huyo mzee hana tofauti na mzee akilimali.... yaani wazee kama hawa ndiyo kikwazo cha soka letu kufika mbali !! sasa huyu mzee hana hata miaka mingi hapa duniani ya kuishi.... wazee kama vilaza kwlkwl
 
huyo mzee hana tofauti na mzee akilimali.... yaani wazee kama hawa ndiyo kikwazo cha soka letu kufika mbali !! sasa huyu mzee hana hata miaka mingi hapa duniani ya kuishi.... wazee kama vilaza kwlkwl
Kifo ni siri ya Mwenyezi Mungu
 
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
Je huo mkataba mmependekeza imeshindikana? Sabbu kumbukeni wana simba sio nyinyi peke yenu wanasimba wao wengi sana hata hao mnaosigana nao ni wanasimba kama nyinyi, kama wao wanaona kuna jema wakifanya hivyo kwa maslahi ya Club kwanini nanyi msione ni jambo jema?

Kuna faida gani ya kukaa na majengo yaliyo chakaa, ambayo si faida kwa club wala wanachama na kuna faida gani ya kuwa na jina kubwa la Simba lakini timu haina mafanikio ya maana ndani na Nje ya Nchi?
mi nilidhani suala ingekuwa mzee kilomoni na timu yake upande ambao wana hizo nyaraka wanazokatalia wangeweka masharti yao mezani kwa niaba ya upande wao je wanataka kitu gani kwa kushikilia hizo hati?, na waseme hivyo mbele ya wanasheria na waandishi wa habari huenda hoja zao zina mashiko..kwa faida ya club ya leo na kesho.

Kisha upande wa Bodi ya Simba(muwekezaji) nao watoe malengo yao na nia yao kwa kuhitaji hizo hati kisha muafaka kwa maslahi ya club ufikiwe sio kwa matumbo ya watu fulani ni wajinga wajinga ambao mpaka leo wanaamini katika uchawi na ushirikina..
 
Povu la nini?!..........CEO wa Simba SC Magori alikiri pale Clouds kuwa MO hajatoa hizo fedha bali ana mpango wa kununua Hati fungani za serikali siku za mbeleni. Ndiposa watu makini kama Manara wakashtuka.
Sasa nani alikwambia hata zile sajili za Real Madrid au kina Kroenke kununua hisa za arsenal pesa inatolewa Cash?? Hizi biashara kubwa kukopa na kuwekeza ni kitu cha kawaida ndio maana unakuta timu kama Real Madrid na Barcelona zina madeni makubwa sana licha ya kuwa zina mapato makubwa sababu biashara ndio mzunguko wa hivo unakopa hapa unawekeza kule. Sasa kama mlidhani uwekezaji ni lazima cash money mmechemka maana hata Abramovich hakufanya hivyo!! Ni vizuri hao viongozi wa simba wakasome sheria za mikataba na biashara za kimataifa ili wafunguke akili.

NB: Hati fungani akinunua means yeye ndio anakopesha serikali.... Ila akiuza hati fungani means yeye ndio anakopeshwa na serikali!!

Rudi tu jukwaa la siasa ukatetee CCM huku hapakufai
 
Back
Top Bottom