Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
Kuna watu simba inawatesa sana π π π π
Hahaaah hapa ni fisi ameona mtu anatembea so anafuata kwa nyuma akijua mikono ya uyo mtu itadondoka....simba kuna watu inawakosesha sana raha...inaonekana usiku wanaweweseka sababu ya simba π π π πNaona Magori anakwenda kuachia ngaziView attachment 1126131
Shabiki la makwasukwasu fc linajifanya ni shabiki la simba....hahaah tutaona mengi sana mwaka huuπ π π...hiyo yote ni kuweweseka tuniombe radhi haraka sana !
Mwisho mtasema Kilomoni naye YangaShabiki la makwasukwasu fc linajifanya ni shabiki la simba....hahaah tutaona mengi sana mwaka huuπ π π...hiyo yote ni kuweweseka tu
Wewe kwanini ujifanye shabiki wa simba wakati tunakujua fika we ni shabiki la makwasukwasu fc...wazee wa kuzunguka na mabakuli π π π π π ...shabiki kama wewe utashangaa umenunua bando ili uje uichafue simba humu wakati hiyo mia tano ungeweza ichangia timu yako wachezaji wasije wakakosa mishahara wakafa njaaMwisho mtasema Kilomoni naye Yanga
Kutesa kwa zamu,wakati ule mlikuwa mnashabikia pumba za Akilimali dhidi ya Manji sasa hivi ni zamu yetu kuchochea kuni Moto.Shabiki la makwasukwasu fc linajifanya ni shabiki la simba....hahaah tutaona mengi sana mwaka huu ...hiyo yote ni kuweweseka tu
Manji aliomba kitu kama iko cha kuwa na timu ba logo,mali zingine za klabu wala akuzitaka na aliletewa figisu,ajabu huyu mo anataka hati za jengo kabisa,na kishalifanyia hesabu eti lina thamani ya bln 3!
Hahaaah endeleeni kusubiri kwa kuchochea zikiisha mtuambie tuwaongezee kuni nyingine...π π π π π π ...tabu ipo pale paleKutesa kwa zamu,wakati ule mlikuwa mnashabikia pumba za Akilimali dhidi ya Manji sasa hivi ni zamu yetu kuchochea kuni Moto.
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
Nenda kinondoni Block 41 kaombe appointment na mmiliki Wa simba hafu akikukubalia basi itakuwa ni wasaa mzuri Wa kukueleza kwa kina timu hii aliipataje, ha ha ha
Kilomoni anamili Majengo ya Simba pale Kariakoo! Kumbe ni bonge la tajiri.
Sishangai kusikia Simba SC ni kongwe kuanzishwa kuliko umri wa huyo Kilomoni.
Lakini mwisho wa Siku imekuwa eti ni Yake bila ya kuianzisha wala kuinunua
Umeanza tena severine sio?Sasa unashabikia timu hafu hujui mmiliki wake ebo? Tambua hilo muda wote unashabikia timu ya Hamis! Pigeni magoti na muandamane kwa magoti hadi kwa mwenye timu ili malengo ya bosi mwizi yatimie.
Sheria na taratibu lazima zifuatwe tu , hatuwezi kuitupa simba eti kwa vile kaja MO , makubaliano yatekelezwe nukta kwa nuktaKwani wewe ulishawahi kuona jema kwa Mo Dewj?
Ulianza kumpiga vita tokea 2017 ββ
Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?
Ni ngumu sana kujadili kitu ambacho hujakiona wala kisoma napata shida kujadili hili, lakini ufahamu uwekezaji wa Mo kwa Simba siyo wa mtu ni kampuni so hata kama Mo akifa still mkataba utabaki mpaka miaka mitano ndio utakuwa unapaswa kujadiliwa upya uvunjifu wa mkataba huu pande zote zitahitaji...www.jamiiforums.com
Ukijaribu kuwaaminisha watu kuwa Mo hawezi kuleta mafanikio yoyote ndani ya Simba.
Nadhani tulishuhudia kabla ya Mo Simba ilikwisha sahau kuhusu Kombe au CAF CL
Lakini baada ya Mo mafanikio ya haya Miaka Miwili tunayaona.
Sasa endelea kumpiga Vita Mo abakie hiyo Tajiri wako Kilomoni alipe wachezaji mishahara, asajili wachezaji, apeleke wachezaji kambini na amlipe kocha wa kigeni.
Nadhani unahisi maneno matupu ya Kilomoni na Kodi ya mapango ya pale Karakoo ndiyo inayoweza kusajili wachezaji na kuwalipa mishahara.
Kifo ni siri ya Mwenyezi Munguhuyo mzee hana tofauti na mzee akilimali.... yaani wazee kama hawa ndiyo kikwazo cha soka letu kufika mbali !! sasa huyu mzee hana hata miaka mingi hapa duniani ya kuishi.... wazee kama vilaza kwlkwl
Je huo mkataba mmependekeza imeshindikana? Sabbu kumbukeni wana simba sio nyinyi peke yenu wanasimba wao wengi sana hata hao mnaosigana nao ni wanasimba kama nyinyi, kama wao wanaona kuna jema wakifanya hivyo kwa maslahi ya Club kwanini nanyi msione ni jambo jema?ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
Sasa nani alikwambia hata zile sajili za Real Madrid au kina Kroenke kununua hisa za arsenal pesa inatolewa Cash?? Hizi biashara kubwa kukopa na kuwekeza ni kitu cha kawaida ndio maana unakuta timu kama Real Madrid na Barcelona zina madeni makubwa sana licha ya kuwa zina mapato makubwa sababu biashara ndio mzunguko wa hivo unakopa hapa unawekeza kule. Sasa kama mlidhani uwekezaji ni lazima cash money mmechemka maana hata Abramovich hakufanya hivyo!! Ni vizuri hao viongozi wa simba wakasome sheria za mikataba na biashara za kimataifa ili wafunguke akili.Povu la nini?!..........CEO wa Simba SC Magori alikiri pale Clouds kuwa MO hajatoa hizo fedha bali ana mpango wa kununua Hati fungani za serikali siku za mbeleni. Ndiposa watu makini kama Manara wakashtuka.