Hamisi Kilomoni alindwe

Hivi hizo hati Kilomoni anazoziita anaimiliki Simba SC zimeanfikwa kwa jina la Kilomoni? Au umiliki huo umeanzaje?:-
1) Kilomoni Ndiye aliyeianzisha Simba kama timu Yake mwenyewe?
2) Kilomoni aliinunua Simba SC kutoka kwa walioianzisha?
3) Kilomoni sio mmiliki Bali alikabidhiwa hati za timu tu azihifadhi?

Au hebu nielewesheni kuhusu huyu the so called Kilomoni.
Nenda kinondoni Block 41 kaombe appointment na mmiliki Wa simba hafu akikukubalia basi itakuwa ni wasaa mzuri Wa kukueleza kwa kina timu hii aliipataje, ha ha ha
 
Mimi ni Yanga ila propaganda nyingine haziingii akilini hivi Mo anashindwa kununua nyumba Kariakoo hadi atumie njia ndefu hivi ili aipate?
 
akili za watu wa yanga hazitofautiani na za mzee kilomoni.
yanga mlitaka manji atoe TU hela zake. Ila kumpa timu aendeshe mnaona mnaiuza.
Leo mnahangaika na BAKULI KUBWA KULIKO. hakuna mwanaume atakaye kuhudumia Bila kujua yeye atapata nini.
Uwekezaji ni kupata faida SIO WEWE TOA TU UTALIPWA NA MUNGU.
manji akakimbia
Mimi ni Yanga ila propaganda nyingine haziingii akilini hivi Mo anashindwa kununua nyumba Kariakoo hadi atumie njia ndefu hivi ili aipate?
 
nikiona mtu anaandika na pumba kama zako natamani ata nikutafune,,..sidhani hata kama simba yenyew unaijua na unajua iliyoyapitia hapo katkat ..simba imepitia kipindi kigumu sana hadi wachezaji wengne tulikua tunapewa kwa huruma za viongozi wa timu ndogo wenye mapenzi na simba,,..simba ilipitia kipindi kiongozi aje mazoezini wachezaji wapewe elf tano tano asubuhi waondoke wakanywe chai na nauli yakurudia jioni mazoezi,,..we unataka uturudishe huko ..hii step tuliyopiga kwa sisi tunaoijua simba yetu ni kubwa mnooo ..usituambie turudi kule tena..unanitia uchungu sana nikikumbuka kipindi kile manji anatutesa sana ..Mimi mwenyew mwaka 2008 nishatoa buku 10 langu mfkon mazoezini tunachangishana wachezaji wapate hela chai.acha kuongea ujinga kbsa soka la bongo hulijui wewe. ..kivyovyote vile moo inabid aheshimiwe na alindwe pale simba ..mengine ni yakujadiliana tu.
Yaani wewe unaijua Simba kuliko mmiliki wake halala Hamis Kilomoni?
 
Sasa kama jengo lina thamani ya billion 3.kwanini simba wasichukue hizo billion 3.
Ikajiendesha yenyewe?
WEWE unadhani kodi ya zile fremu ndo unaweza ukaendeshea timu kuanzia usajili mpaka mishahara ya wafanyakazi?
Simba ina vyanzo Gani vya mapato?
kuhusu hati za Simba zinatakiwa zikae ofisini sio kwa mtu binafsi. Mzee kilomoni ana cheo gani pale simba? Mpaka akae na hati za Simba? Na aliyemwambia kuwa simba inataka kuuzwa kwa moo ni nani?
Hivi unadhani hata tukiamua tuiuze simba kuna mtu atakae inunua hata kwa billion 2?. Hakuna vyanzo vya mapato. Hela yake itarudi vipiii?
Mjinga wewe
 
Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Tunahitaji Timu ya kisasa, inayokwenda na wakati.. huwezi kuwa na timu yenye Jina kubwa kimataifa kisha ofisi na makao yake makuu ni kama jiko la mamantilie muwe mnaona aibu sometime na kuficha upumbavu wenu.!
Eneo kama kariakoo ni eneo bora kwa uwekezaji wa kibiashara, nadhani Simba wana viwanja viwili pale msimbazi vinavyoweza kujenga jengo Zuri kubwa litakalofaa kuwa ofisi ya kisasa ya makao makuu ya club ikibidi na Hotel kwa ajili ya wachezaji kama sio makazi yao.

Kikubwa na mkataba ulio wazi kwa muwekezaji unaoweza kuondoa shaka kwa watu wote.. lets wake up people.
 
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
Ni wivu tu wa vyura Fc
 
Yaani wewe unaijua Simba kuliko mmiliki wake halala Hamis Kilomoni?
hao wazee wewe huwafahamu vizuri ,,hawaendi uwanjani wala mikutanoni hawaji ..na hata ukimuliza kuhusu simba ataanza kukutajia hiatoria ya mwaka stini hajui hata timu inaendeshwa vp wanachkulia poapoa tu ,,..na tunaozijua hizi timu tunajua kilomoni anataka nini ,,baada week mbili subiri ka utamsikia ..
 
Naona Magori anakwenda kuachia ngazi
IMG-20190613-WA0000.jpeg
 
Tunahitaji Timu ya kisasa, inayokwenda na wakati.. huwezi kuwa na timu yenye Jina kubwa kimataifa kisha ofisi na makao yake makuu ni kama jiko la mamantilie muwe mnaona aibu sometime na kuficha upumbavu wenu.!
Eneo kama kariakoo ni eneo bora kwa uwekezaji wa kibiashara, nadhani Simba wana viwanja viwili pale msimbazi vinavyoweza kujenga jengo Zuri kubwa litakalofaa kuwa ofisi ya kisasa ya makao makuu ya club ikibidi na Hotel kwa ajili ya wachezaji kama sio makazi yao.

Kikubwa na mkataba ulio wazi kwa muwekezaji unaoweza kuondoa shaka kwa watu wote.. lets wake up people.
ugomvi ni mkataba tu na makubaliano , sisi wanasimba hatuna jengine
 
Kuna mchezaji yoyote aliyelalamika hajalipwa mshahara?
unajua hela zinatoka wapi?
hauwezi ukaweka bil 20.halafu haujui zitarudi vipi hyo ni biashara kichaa.
Mimi nipo na moo..
timu imetulia.
ligi ya Tanzania kwa sasa haina uwezo wa kurudisha bil 20.
Mkuu usihangaike kubishana na haya mashabiki ya makwasukwasu fc...yameona hakuna jipya linaloendelea kwenye timu yao so yanachojaribu kufanya ni kutengeneza maneno ionekane simba kuna mgogoro ili yajifariji kuwa hayavurugani peke yao
 
Sasa unashabikia timu hafu hujui mmiliki wake ebo? Tambua hilo muda wote unashabikia timu ya Hamis! Pigeni magoti na muandamane kwa magoti hadi kwa mwenye timu ili malengo ya bosi mwizi yatimie.
Hahaaaah shabiki la ombaomba fc linatoa povu kuhusu maswala ya simba ambayo hayalihusu....badala ya kuhamasisha kuchangisha mia tano mia tano ili wawalipe mishahara wakina fei toto wasife njaa linatoa mipovu kuhusu simba....TABU IPO PALE PALE...KISU KIMEFIKA KWENYE MFUPA LAZIMA MUWEWESEKE
 
Back
Top Bottom