severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,397
Sasa unashabikia timu hafu hujui mmiliki wake ebo? Tambua hilo muda wote unashabikia timu ya Hamis! Pigeni magoti na muandamane kwa magoti hadi kwa mwenye timu ili malengo ya bosi mwizi yatimie.Shit! Kilomoni ni mmiliki wa klabu ya Simba?