Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,310
- 217,320
Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Hili jambo ni muhimu sana kwa sasa
Kwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Ifahamike kwamba Uwekezaji ni jambo muhimu sana lakini ni vema ukafanyika kwa uwazi usio na chembe ya mashakaKwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...
Wamlinde Hamisi Kilomoni, watakuwa wamelinda hati yao na timu yao,
Wapenda haki ktk soka la Tanzania naamini watakusikia na kukuelewa kwa msg uliyoiweka hapa jukwaani, ila jukumu kubwa ni kwa Simba wenyewe..
Bi Hindu na Mzee Kilomoni peke yao hawawezi....wamejitahidi kupigania Club yao kwa kweli.
Nakubaliana na mtoa Post.
Na ndio jambo la msingi......Ifahamike kwamba Uwekezaji ni jambo muhimu sana lakini ni vema ukafanyika kwa uwazi usio na chembe ya mashaka
Kumekucha !
Mwambie huyo muhindi atoe hela kama makubaliano yalivyo asilete janja janja kama alivyowafanyia serikali kwenye mashamba ya mkonge na Africa lyonuzee una msumbua mzee kilomoni.
Moo aweke bil 20.
Wakati ligi hata wafadhili hainaaa.
Anachotoa kinatosha tena sanaa. Kikubwa usajili ufanyike wachezaji na benchi la ufundi wapate mishahara yao.
Kama timu ingekuwa na uwezo si ingejiendesha yenyewe?
au mnataka tuwe omba omba kama YANGA.
Kuna mchezaji yoyote aliyelalamika hajalipwa mshahara?Mwambie huyo muhindi atoe hela kama makubaliano yalivyo asilete janja janja kama alivyowafanyia serikali kwenye mashamba ya mkonge na Africa lyon
Ohooo??? Bi Hindu naye mwekezaji na mfadhili wa simba au yeye ni nani. Kuna vitu vya kukaa na kusikiliza lakini kwa mpira wa sasa wa kisasa Bi Hindu anajua nini? hata huyu mzee Kilomoni ana tofauti gani na mzee Akilimali ya Yanga. Ni vizee vinavyocheza mpira kwa mdomo bilaKwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...
Wamlinde Hamisi Kilomoni, watakuwa wamelinda hati yao na timu yao,
Wapenda haki ktk soka la Tanzania naamini watakusikia na kukuelewa kwa msg uliyoiweka hapa jukwaani, ila jukumu kubwa ni kwa Simba wenyewe..
Bi Hindu na Mzee Kilomoni peke yao hawawezi....wamejitahidi kupigania Club yao kwa kweli.
Nakubaliana na mtoa Post.
Wewe umeziona hizo bil 20?uzee una msumbua mzee kilomoni.
Moo aweke bil 20.
Wakati ligi hata wafadhili hainaaa.
Anachotoa kinatosha tena sanaa. Kikubwa usajili ufanyike wachezaji na benchi la ufundi wapate mishahara yao.
Kama timu ingekuwa na uwezo si ingejiendesha yenyewe?
au mnataka tuwe omba omba kama YANGA.
Sikiliza hoja zao kwanza,, ndpo useme mwekezaji Mo Dewji anafuata masharti ya mkataba wa uwekezaji Simba sports Club?Ohooo??? Bi Hindu naye mwekezaji na mfadhili wa simba au yeye ni nani. Kuna vitu vya kukaa na kusikiliza lakini kwa mpira wa sasa wa kisasa Bi Hindu anajua nini? hata huyu mzee Kilomoni ana tofauti gani na mzee Akilimali ya Yanga. Ni vizee vinavyocheza mpira kwa mdomo bila
Unaufahamu na mkataba wa uwekezaji Simba sports Club unasemaje?Kuna mchezaji yoyote aliyelalamika hajalipwa mshahara?
unajua hela zinatoka wapi?
hauwezi ukaweka bil 20.halafu haujui zitarudi vipi hyo ni biashara kichaa.
Mimi nipo na moo..
timu imetulia.
ligi ya Tanzania kwa sasa haina uwezo wa kurudisha bil 20.