warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo konki sana , yani tamu , ya kimahaba na sauti humu kajitahidi kutulia kwa kweli
Ni bora tu ukaroge upendwe na mashabiki uachane mambo ya kuroga diamond , yan wewe ni next level , wanaosubir ushuke watasubir, hongera sana hamisa , kipaji nimekielewa aiseh , yan dah, endelea kupiga kazi
Sent from my iPhone using JamiiForums