Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne
We nae kumbe fala sana kuna nyimbo ya marehem Mangwair inaitwa bado hujawajuwa mademu.Bro hukuona hata ile movie inaitwa king kong demu anampenda yule mdudu hadi akatoroka kumfata. Mkuu mji huu una wenyew wa bush rudi shamba.
Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote😂😂😂😂😂
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana😂😂😂😂😂😂
Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne View attachment 2027377
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.